Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #41
Wanawake wanafosi usawa kwenye kila kituš
Ila kiuhalisia hakunaga usawa kwenye mapenzi au mahusiano au ndoa
Eti utamsikia mwanamke anasema analipiza kisasi kisa mume wake kamsaliti
Anadhani anamkomoa mwanaume
Mwisho wa siku ni yeye na mbususu yake ndiye wanaojikomoa.
Mwanamke akicheat anaitwa malaya wanaume wanajipigia wanasepa. Unabaki unajiuliza kamuadhibu mwanaume au yeye ndio kajiadhibu