Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Kiumbe anaitwa binadamu,ngumu sana kumtafsiri!

Mkikua mtaachana na hizi nadharia mnazoaminishana humu kila kukicha.
Miaka 10 ijayo utasoma hizi nyuzi zako utajiona vile ulivyokuwa unatumia nguvu nyingi kujiaminisha, kuaminisha , kuamini vitu ambavyo when it comes to ubinadamu wala hata havipo na wala hata havifanyiki hivyo unavyotamani iwe wala hata havina mashiko ya utendekaji.

Kwa sasa, keep on writing Champ!
Mbona wengi tu wanavifanyia kazi vilivyoandikwa
 
Mwanamke anayekusaliti, kwa 80% anaweza kukuua. Ndio maana ni risk kuishi na mwanamke anayekusaliti.

Hata sisi wanaume pia, ni risk kutembea(Ngono) na wanawake ovyo tunazoa maagano machafu na kuyapeleka kwenye familia zetu.
 
Mwanamke ukiona umesamehewa ni bora tu usepe, hakunaga msamaha jua unaandaliwa maumivu X2.
Binafsi kuna mwanamke nilimkamata with evidence, aliniomba msamaha hadi ndugu zake walimuombea msamaha. Kiukweli nilipretend maisha ndani ya miezi mi3 kiasi kwamba alijisahau kabisa. Nilivyoona kajaa kwenye mfumo. 😁😁😁 If God counts, ninakesi ya kujibu huko majuu
 
Kwaio kumbe lijamaa hapa halijanisamehe,,wacha nitoke zangu nduki usiku wa leo akilala.
Yeah huo ndio ukweli kama amejua hilo ni doa ambalo halitafutika katika akili yake
 
Mwanamke ukiona umesamehewa ni bora tu usepe, hakunaga msamaha jua unaandaliwa maumivu X2.
Binafsi kuna mwanamke nilimkamata with evidence, aliniomba msamaha hadi ndugu zake walimuombea msamaha. Kiukweli nilipretend maisha ndani ya miezi mi3 kiasi kwamba alijisahau kabisa. Nilivyoona kajaa kwenye mfumo. 😁😁😁 If God counts, ninakesi ya kujibu huko majuu
Mkuu kama hautajali hebu ongezea nyama hiyo stori
 
Mwanamke anayekusaliti, kwa 80% anaweza kukuua. Ndio maana ni risk kuishi na mwanamke anayekusaliti.
Na kwa kuongezea sababu ya ndoa nyingi kuvunjika ni usaliti wa wanawake, huu ni ukweli ambao huwa hausemwi
 
Mwanamke mpaka anakusaliti kuna vitu ushapimwa mwanzon kabisa akajihakikishia kwamba huyu namuweza

Hakurupuki tu
Ubabe ni kitu cha mhimu kwenye ndoa siyo unakuwa mtu wa yes honey usirudie mamalao, nitakudunda Aisha uumie vibaya,
punguza kuchekesha
 
kwa mwanamke iko tofauti sana, tena sana, mwanamke ukimsaliti na ukamuonyesha kuwa ilikuwa bahati mbaya, au yule mwanamke alikuwa anakuwinda muda mrefu kwa mitego mbali mbali, unakuwa umeshauhamisha ugomvi kutoka kwa mume kwenda kwa yule mchepuko na huku ndani kunabaki salama,

Jidanganye.
 
"Mwanamme akichelewa kurudi nyumbani usiku inazungumzika mwanamke akichelewa kurudi home ndoa inavunjika" hii kauli ni ya muhimu mno
 
Back
Top Bottom