Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Utapoteza muda. Kwanza ni mali yake, yeye ndio anaamua ampe nani. Kumuoa sio mwisho wa kupenda watu wengine. Kwani anaekitumia huwa anaondoka nacho?

Kwanza ukiona ume mdaka ajue ametaka ; kama hataki ujue you will never notice kwa mwanamke smart .

Asilimia kubwa ya married man wana cheat , wanawqke wanakuaga wa mwisho kugawa nje.

Afterall ishi kwa amani, hummiliki mtu yoyote hapa duniani; yeye ndio wa kuamua awaonjeshe na wengine au hapana, sio vitisho vyako

Waafrica mjifunze kuheshimu wanawqke

Hata hizi sheria za kuoa wake zaidi ya mmoja should be the same to woman

Wanawqke weng wameolewa na they manage kuhudumia other men perfectly . Woman are also free to marry more than one man
Bila shaka akili zako zinapatikana kwenye makalio shenzi kabisa
 
Mke ndio anamcheat mume ila mume hua hacheat anabadirisha mboga tu
Kama wameoana kwa ndoa, yeyote kati yao anayechepuka ana cheat.

Kama hawajaona kwa ndoa hakuna cheating kwa yeyote kati yao. Wote wapo kwenye dhambi kwa hiyo wanaongezea tu dhambi.
 
Kiumbe anaitwa binadamu,ngumu sana kumtafsiri!

Mkikua mtaachana na hizi nadharia mnazoaminishana humu kila kukicha.
Miaka 10 ijayo utasoma hizi nyuzi zako utajiona vile ulivyokuwa unatumia nguvu nyingi kujiaminisha, kuaminisha , kuamini vitu ambavyo when it comes to ubinadamu wala hata havipo na wala hata havifanyiki hivyo unavyotamani iwe wala hata havina mashiko ya utendekaji.

Kwa sasa, keep on writing Champ!
Balehe inawasumbua
Waache hivo hivo
 
Hata hizi sheria za kuoa wake zaidi ya mmoja should be the same to woman

Wanawqke weng wameolewa na they manage kuhudumia other men perfectly . Woman are also free to marry more than one man
Hivi vijana wa miaka hii mna shida gani?
 
Na wanawake

Pale umeandika Mwanaume weka neno Mwanamke.

Ngoma drooooooo.

🤗
Msijidanganye hakuna udroo kati ya mwanaume na mwanamke ,mwanaume ni mwanaume na atabaki kuwa mwanaume, na mwanamke ni mwanamke na haitokuja itokee ulimwenguni hapa awe sawa na mwanaume
 
Ukiona mwanaume hakuwekei mipaka unafanya unachotaka na wala haimshtui ujue hana upendo na wewe.

Ni kama tu malaya mwanaume atamnunua hapa akitoka kufanya yake atakuja mwanaume mwingine atamnunua malaya yuleyule, lakini huyu mwanaume wa kwanza wala haimuumizi

Ninachomaanisha ukiona mwanaume amefikia hatua kama hiyo kwa mwanamke ujue anamuoma tu kama wauza utamu
Kuna baba angu mdogo alikuwa anafumaniwa sana na wake za watu. Mara kadhaa kesi alikuwa ana amua mzee wangu. Baba madogo Kuna siku nyumba yake ya bati yalikuja kuenzuliwa Ili alipe ugoni aliona kamatwa. Kwakweli ilikuwa aibu familia yake ikarudi kwetu muda kama wa wiki na siku kadhaa huku yeye akipambana kuezeka Kwa nyasi.

Lakini mke wake alikuja kujichanganya mara1 tu akachepuka na aka kamatwa na mke wa jamaa yaani ba mdogo Wala hakumfumania yeye isipokuwa mke wa yule jamaa na akampiga haswaa.

Baba mdogo alipopata taarifa zile maana kesi waliikuta Kwa balozi tiyari yule mwanamke alipigwa mayowe.

Ba mdogo alipiga chini hapohapo sisi tulishangaa sana maana tulikuwa Bado akili haijakua. Baba mdogo akawa katemana na yule mama asee ila yeye kesi zilikuwa za hapa na pale mke wake anatoroka anaenda kwao na anarudi wanaendelea na maisha.
 
Lakini mke wake alikuja kujichanganya mara1 tu akachepuka na aka kamatwa na mke wa jamaa yaani ba mdogo Wala hakumfumania yeye isipokuwa mke wa yule jamaa na akampiga haswaa.

Baba mdogo alipopata taarifa zile maana kesi waliikuta Kwa balozi tiyari yule mwanamke alipigwa mayowe.

Ba mdogo alipiga chini hapohapo sisi tulishangaa sana maana tulikuwa Bado akili haijakua. Baba mdogo akawa katemana na yule mama
Huu ushuhuda unafunua ukweli halisi kuhusu wanaume, ni vigumu sana kusamehe mwanamke msaliti
 
Mie tunafumana tunanuniana tunarudiana

Huko kurudiana anakutumia tu, hayupo nawe tena.
Kawaida mwanamke mpaka achepuka huwa amedhamiria kwa nafsi, moyo na roho, yaani sio kama sisi unatembeza show kwa changudoa ambaye hata sura huna haja ya kuikumbuka, ila kwa wanawake lazima umpende mwanaume kabla uruhusu akutafune.
 
Kuna wale tegemezi kwa wake zao au kwa lugha nyingine mwanamke ana uchumi mkubwa kumzidi mwanaume na unakaa kwake na hapo tunasemaje kitalaam!.
Niliwai kupitia hali hiyo mwanamke wangu alienda semina akaliwa na watu watatu ndani ya siku 7

Mtu wa kwanza walianza mawasiliano before semina (haka Kajamaa kalikula Mara moja alafu hakurudi tena nadhani atakuwa alikuta dimbwi au mwanamke sio type yake)

Mtu wa 2 na 3 walikutana hukohuko
Baada ya mm kujua nilijifanya sijajua chochote nikaja kumuacha miezi 11 baadae baada ya shemeji yangu kunitafutia kazi inayolipa vizuri saana
 
Moja ya uamuzi bora kabisa uliofanya maishani
 
Na kwa kuongezea sababu ya ndoa nyingi kuvunjika ni usaliti wa wanawake, huu ni ukweli ambao hausemwi
Ndio, hakuna haja ya kumuacha mwanamke kama hakusaliti. Ukimwacha mwanamke ambaye hajakusaliti wewe utakuwa na matatizo ya akili.
 
babe ni kitu cha mhimu kwenye ndoa siyo unakuwa mtu wa yes honey usirudie mamalao, nitakudunda Aisha uumie vibaya,
punguza kuchekesha
Mwanamke usipomuwekea mipaka lazima atengeneze stereo. 😁

Tafuta pesa, weka mwanamke ndani, nunua kila kitu weka ndani atunze bustani. Haya mambo ya leo tunaenda kwenye kikao cha ofisi, mara semina ya kina mama, mara mikopo, hapo kutoboa ni ngumu sana. Lazima aliwe. 😁
 
Back
Top Bottom