zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mke ndio anamcheat mume ila mume hua hacheat anabadirisha mboga tuWacheni kudanganyana, anae cheat ni mke au mume wa ndoa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke ndio anamcheat mume ila mume hua hacheat anabadirisha mboga tuWacheni kudanganyana, anae cheat ni mke au mume wa ndoa tu.
Bila shaka akili zako zinapatikana kwenye makalio shenzi kabisaUtapoteza muda. Kwanza ni mali yake, yeye ndio anaamua ampe nani. Kumuoa sio mwisho wa kupenda watu wengine. Kwani anaekitumia huwa anaondoka nacho?
Kwanza ukiona ume mdaka ajue ametaka ; kama hataki ujue you will never notice kwa mwanamke smart .
Asilimia kubwa ya married man wana cheat , wanawqke wanakuaga wa mwisho kugawa nje.
Afterall ishi kwa amani, hummiliki mtu yoyote hapa duniani; yeye ndio wa kuamua awaonjeshe na wengine au hapana, sio vitisho vyako
Waafrica mjifunze kuheshimu wanawqke
Hata hizi sheria za kuoa wake zaidi ya mmoja should be the same to woman
Wanawqke weng wameolewa na they manage kuhudumia other men perfectly . Woman are also free to marry more than one man
Kama wameoana kwa ndoa, yeyote kati yao anayechepuka ana cheat.Mke ndio anamcheat mume ila mume hua hacheat anabadirisha mboga tu
Balehe inawasumbuaKiumbe anaitwa binadamu,ngumu sana kumtafsiri!
Mkikua mtaachana na hizi nadharia mnazoaminishana humu kila kukicha.
Miaka 10 ijayo utasoma hizi nyuzi zako utajiona vile ulivyokuwa unatumia nguvu nyingi kujiaminisha, kuaminisha , kuamini vitu ambavyo when it comes to ubinadamu wala hata havipo na wala hata havifanyiki hivyo unavyotamani iwe wala hata havina mashiko ya utendekaji.
Kwa sasa, keep on writing Champ!
Hata hizi sheria za kuoa wake zaidi ya mmoja should be the same to woman
Wanawqke weng wameolewa na they manage kuhudumia other men perfectly . Woman are also free to marry more than one man
Ndo hasira yangu Hupoa,..
Hapa tunzungumzia mke wa ndoaWacheni kudanganyana, anae cheat ni mke au mume wa ndoa tu.
Msijidanganye hakuna udroo kati ya mwanaume na mwanamke ,mwanaume ni mwanaume na atabaki kuwa mwanaume, na mwanamke ni mwanamke na haitokuja itokee ulimwenguni hapa awe sawa na mwanaumeNa wanawake
Pale umeandika Mwanaume weka neno Mwanamke.
Ngoma drooooooo.
🤗
Mke au mune kama ana cheat si talaka inahusika.Hapa tunzungumzia mke wa ndoa
Talaka nyingi zinaenda hasa kwa wake. Unafikiri kwa nini?Mke au mune kama ana cheat si talaka inahusika.
Simpo.
Kuna baba angu mdogo alikuwa anafumaniwa sana na wake za watu. Mara kadhaa kesi alikuwa ana amua mzee wangu. Baba madogo Kuna siku nyumba yake ya bati yalikuja kuenzuliwa Ili alipe ugoni aliona kamatwa. Kwakweli ilikuwa aibu familia yake ikarudi kwetu muda kama wa wiki na siku kadhaa huku yeye akipambana kuezeka Kwa nyasi.Ukiona mwanaume hakuwekei mipaka unafanya unachotaka na wala haimshtui ujue hana upendo na wewe.
Ni kama tu malaya mwanaume atamnunua hapa akitoka kufanya yake atakuja mwanaume mwingine atamnunua malaya yuleyule, lakini huyu mwanaume wa kwanza wala haimuumizi
Ninachomaanisha ukiona mwanaume amefikia hatua kama hiyo kwa mwanamke ujue anamuoma tu kama wauza utamu
Lakini mke wake alikuja kujichanganya mara1 tu akachepuka na aka kamatwa na mke wa jamaa yaani ba mdogo Wala hakumfumania yeye isipokuwa mke wa yule jamaa na akampiga haswaa.
Baba mdogo alipopata taarifa zile maana kesi waliikuta Kwa balozi tiyari yule mwanamke alipigwa mayowe.
Ba mdogo alipiga chini hapohapo sisi tulishangaa sana maana tulikuwa Bado akili haijakua. Baba mdogo akawa katemana na yule mama
Mie tunafumana tunanuniana tunarudiana
Niliwai kupitia hali hiyo mwanamke wangu alienda semina akaliwa na watu watatu ndani ya siku 7Kuna wale tegemezi kwa wake zao au kwa lugha nyingine mwanamke ana uchumi mkubwa kumzidi mwanaume na unakaa kwake na hapo tunasemaje kitalaam!.
Niliwai kupitia hali hiyo mwanamke wangu alienda semina akaliwa na watu watatu ndani ya siku 7
Mtu wa kwanza walianza mawasiliano before semina (haka Kajamaa kalikula Mara moja alafu hakurudi tena nadhani atakuwa alikuta dimbwi au mwanamke sio type yake)
Mtu wa 2 na 3 walikutana hukohuko
Baada ya mm kujua nilijifanya sijajua chochote nikaja kumuacha miezi 11 baadae baada ya shemeji yangu kunitafutia kazi inayolipa vizuri saana
Ndio, hakuna haja ya kumuacha mwanamke kama hakusaliti. Ukimwacha mwanamke ambaye hajakusaliti wewe utakuwa na matatizo ya akili.Na kwa kuongezea sababu ya ndoa nyingi kuvunjika ni usaliti wa wanawake, huu ni ukweli ambao hausemwi
Mwanamke usipomuwekea mipaka lazima atengeneze stereo. 😁babe ni kitu cha mhimu kwenye ndoa siyo unakuwa mtu wa yes honey usirudie mamalao, nitakudunda Aisha uumie vibaya,
punguza kuchekesha
Kwani kukiwa na talaka, mwanamke ndo anakuwa amepata talaka na mume anabaki na ndoa?Talaka nyingi zinaenda hasa kwa wake. Unafikiri kwa nini?