Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanamke Msaliti hasemehewi
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwa wanaume simps au waoga kuwapiga chini wanawake wasaliti

Ukishamsamehe mwanamke msaliti mara ya kwanza tu ulipomgundua umeshajiroga

Basi ujue utakosa ujasiri wa kumpiga chini akikusaliti tena. Wanaishia kununanuna wakipewa mbususu na good sex wanapotezea

Wanaume wa aina hiyo hujikuta wanasamehe tu demu anacheat tena wamasemehe tena

Dawa ni kufanya uamuzi wa kumuacha mara ya kwanza ukishagundua amekusaliti.

Na kwa wanaume waoga niwashauri usimpe nafasi ya kuongea mwanamke msaliti walaghai sana hawa viumbe
 
Unawaongelea wanawake Gani? Hao ni wale enzi za kina Martha na Magdalena. Maandiko yana sema mwanaume azinie na mwanamke Hana akili kabisa Automatic mwanaume ambaye Hana akili sio wakuwa nae. 😂😂😂 Kama tupo kwenye ndoa, Sio tutaachana hapana lakini atatafutwa mwenye akili . This is what we call Samson Oath Tufikisheni kwenye nguzo tu za hili jengo la Hawa wafilisti 😂😂 halafu mtajua kitachofata 😥😥
 
wanawake hawa hawa mkuu, kwani hujaona mwanaume amezaa nje na akamleta mleta mtoto wa nje ndani ya ndoa yake na mtoto akalelewa vizuri, na mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume yakaendelea vizuri? vipi kwa mwanaume kuambiwa tu huyu mtoto sio wako hata kwa utani tu varangati lake utalijua, utakuta kuropoka, wanaume na wanawake tuko tofauti katika hili
 
Na katika hilo mwenye akili hatakuwepo maana ukitoka nje ya ndoa bado huyo atakayelala na wewe hatakuwa na akili maana anazini, na utofauti mwingine kwa mwanaume akili zake huwa zinarudi tofauti na mwanamke hisia na akili hubaki kule kule alikochepukia
 
Wewe ndo ulifaa uwe mwenyekiti wa CHADEMA kwa busara ulizoandika.
 
Ukisikia mtu anaongelea "wanaume ni..." au "qanawake ni..." bila ya kuwa very finely granulated in biological terms, ambazo hata hizo nazo bado zina utata mwingi, mara nyingi mwisho wake ni kufanya hasty generalization logical fallacy.

Wanaume wote hawako sawa. Kuna wanaume mpaka walio "gender fluid" wanao challenge definition ya uanaume.

Sasa hapo utawezaje kusema kirahisi rahisi tu "wanaume ni..."?

Yani hata ukienda kwa hormones ukasema wanaume hawana estrogen utakuta kuna wanaume wana estrogen.

Ukisema wanaume hawana matiti utakuta kuna wanaume wana matiti.

Yani hata ukisema uanaume ni kuwa na mshedede, kuna wanaume hawana mshedede wana condition inaitqa aphalia.

 
Umesahau KUNDI LA NNE.
(Hawa tuko wachache sana).

Tunasamehe na kusahau.
Nyinyi tuwaweke kwenye u-simp nyinyi ni waoga mnafikiria huyu nikimuacha itakuwaje

Kitendo cha kusalitiwa tu tayari umedharauliwa, kumsamehe ni kama umempa kibali cha kukusaliti tena uzoefu huwa unaonyesha hivyo

Huwa wanawake mnaowasamehe wanawadharau sana
 
Tafuta pesa hakuna mwanamke wa kwako peke Yako we sio baba yake📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…