Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Nimemwambia AKIKUA ataona vila anachoandika sicho kilichopo kwenye maisha halisi!
Kwa sasa acha aandike tu anachoandika!
 
Unapomsamehe mwanamke msaliti yeye anaichukulia kama ruhusa ya kuendeleza ujinga wake. Hakuna rangi utaacha kuona.
 
Siku hizi wanakuambia ni 50/50 ukicheat na yy anacheat. Mahusiano siku hizi mengi ni yapo yapo,hata wenye wenyewe wanaodate hawajui yanahusiana na nini.
 
Siku hizi wanakuambia ni 50/50 ukicheat na yy anacheat. Mahusiano siku hizi mengi ni yapo yapo.
Tatizo mwanamke akicheat kama kulipiza kisasi huwa anajikomoa mwenyewe na akibainika imekula kwake
 
Bustan man atamla. Mpe uhuru mfanye ajielewe, mfanye atambue heshima ya mwanamke ni kukitunza, only for her man . However dont force au kumtisha. III a ameona ni sahihi kugawa nje sawa, wewe utaamua kuachana nae au la

Wakati wewe unampa hizo beat , make sure na wewe hauchepuki…… ila kama unkula nje….. the likelihood kuwa ataliwa ni kubwa

Nilishawahi kutakiwa na mke wa mtu and she wanted me badly, only my prudence nikawq nampiga chenga yule dada. She was sayin anahisi jamaa yake kapoteza mvuto nae, pia wanaishi tu for kids but hakuna connections tena
Ndani. So she wanted kuwa na mm.
She was Tellling me alot about her familia na matatizo na mume yake , yani nilikuwa najua matatizo yao probably more than her mother , its bad

mwanamke akishaanza kuliwa nje, Hata usalama wa familia yako unapungua, not
Recommanded at all . Sikutaka kuwa sabbu ya kuvuruga familia ya watu maana najua angenogewa, mpaka nasepa TZ , yule dada anasema nimembania sana . I am sure vijana wa hovyo walimtembelea
 
Tatizo mwanamke akicheat kama kulipiza kisasi huwa anajikomoa mwenyewe na akibainika imekula kwake
Si anapata hela huko nje na style mpya, mashine mpya anajikomoa kwa kipi, kwani zinaacha mihuri huko kwenye kipochi😃😃😃
 
Huku ushenzini nilipo mke akifumaniwa jamaa wanadai fidia maisha yanaendelea, kwa kweli sijaona aliyeachwa kisa kuchepuka, huku hakunagana mke wa mtu Wala Mme wa mtu yaani watu wamejichokea
 
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…