Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Nafikiri inategemea mna miaka mingapi kwenye ndoa, na mmeishije....assume unaover 50s utamuacha ?? Ngumu sana nakwambia
Kupata mke wa kufanana nawe namaanisha wa kukuvumilia madhaifu Yako ni ngumu, na kuzoeana pia ni ishu usifikiri ni rahisi kihivyo...it takes time...

Usifikiri hizi nyumba watu hawafumaniani, ingekua hivyo nyumba nyingi ndoa zingekua zimevunjika...!
Watu Wana mute tu, na ninakwambia hakuna binadamu perfect wote shida tupu SEMA tunavumiliana iwe kwenye kucheat au mengine..

Juzi Kuna ndugu Yako Yuko mkoan kamfumania mkewe meseji za mapenzi kabisa kuwa ana uhusiano Kila kitu lakini wamegombana wee mke karudi kwao then akaanza Kutafuta frem aanze biashara zake, baada ya wiki mbili mume akamfuata mkewe, mume uwezo anao mkubwa sana tu na madem wengine anao, hapa ninapoandika wanaendelea na maisha...

So usifikiri ni rahisi kiasi hicho....
Nimemwambia AKIKUA ataona vila anachoandika sicho kilichopo kwenye maisha halisi!
Kwa sasa acha aandike tu anachoandika!
 
Unapomsamehe mwanamke msaliti yeye anaichukulia kama ruhusa ya kuendeleza ujinga wake. Hakuna rangi utaacha kuona.
 
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, wanaume huwa wanadhani wanaweza lakini hawawezi.

Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume

KUNDI LA KWANZA
Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe msamaha sisi ni moja kwa moja tunapiga chini. Hatukupi muda hata wa kuzungumza.

KUNDI LA PILI
Hili ni kundi ambalo atajifanya kukusamehe lakini lazima kuna punishment utaipata mbele ya safari. Mojawapo ni kutoaminiwa. Kutakuwa na trust issues. Kwa mfano ukichelewa tu lazima atakumbushia, kwenye matumizi ya simu lazima atakufuatilia sana n.k Kidume anakuwa yupoyupo tu upendo sio kama zamani, hakuna msamaha hapo.

Kutokuaminiwa kwenye mahusiano huwa kunaondoa hisia za mahaba na upendo sana kwa mwanamke. Badala ya kufurahia ndoa utakuwa unavumilia ndoa. Shida yote ya nini kusanya virago ondoka.
  • Kwenye hili kundi kuna wale ambao wanawasamehe wake zao kwa ajili tu ya malezi ya watoto. Usijidanganye kuwa ni wewe umesamehewa, hapo mwanaume anachofikiria ni watoto tu sio wewe msaliti.

KUNDI LA TATU
Hawa ni wanaume ambao anakuacha muendelee kwa sababu akutumie tu hasa kwa sex na akipata option ya mwanamke mwingine utaona tu unaachwa anafanya hivyo ili kulipiza kisasi au kama punishment.

  • Hapa nitawapa mfano; kuna demu alinipa stori walikuwa kwenye serious relationship penzi motomoto akamcheat jamaa yake akajua. Jamaa akafanya kama amemsamehe aendelee tu kumla, siku ya siku miezi imeenda alisikia jamaa anafunga ndoa, siku 3 alijifungia ndani analia. Angefanya maamuzi mapema hii trauma isingemkuta.
Binti unaingia kwenye serious relationship unacheat unaachwa unarudia tena kosa hilohilo kwa mwanaume mwingine na mwingine unaachwa. Unafikiri umri unakusubiri tukutane 30s.

Kila mwanamke msaliti akiulizwa ilikuwaje ukamsaliti mpenzi wako? Utamsikia anasema ilikuwa bahati mbaya. Sasa kama bahati mbaya ilikuwaje ukanyoa hadi mavuzi?

Learn or perish
Siku hizi wanakuambia ni 50/50 ukicheat na yy anacheat. Mahusiano siku hizi mengi ni yapo yapo,hata wenye wenyewe wanaodate hawajui yanahusiana na nini.
 
Siku hizi wanakuambia ni 50/50 ukicheat na yy anacheat. Mahusiano siku hizi mengi ni yapo yapo.
Tatizo mwanamke akicheat kama kulipiza kisasi huwa anajikomoa mwenyewe na akibainika imekula kwake
 
Mwanamke usipomuwekea mipaka lazima atengeneze stereo. 😁

Tafuta pesa, weka mwanamke ndani, nunua kila kitu weka ndani atunze bustani. Haya mambo ya leo tunaenda kwenye kikao cha ofisi, mara semina ya kina mama, mara mikopo, hapo kutoboa ni ngumu sana. Lazima aliwe. 😁
Bustan man atamla. Mpe uhuru mfanye ajielewe, mfanye atambue heshima ya mwanamke ni kukitunza, only for her man . However dont force au kumtisha. III a ameona ni sahihi kugawa nje sawa, wewe utaamua kuachana nae au la

Wakati wewe unampa hizo beat , make sure na wewe hauchepuki…… ila kama unkula nje….. the likelihood kuwa ataliwa ni kubwa

Nilishawahi kutakiwa na mke wa mtu and she wanted me badly, only my prudence nikawq nampiga chenga yule dada. She was sayin anahisi jamaa yake kapoteza mvuto nae, pia wanaishi tu for kids but hakuna connections tena
Ndani. So she wanted kuwa na mm.
She was Tellling me alot about her familia na matatizo na mume yake , yani nilikuwa najua matatizo yao probably more than her mother , its bad

mwanamke akishaanza kuliwa nje, Hata usalama wa familia yako unapungua, not
Recommanded at all . Sikutaka kuwa sabbu ya kuvuruga familia ya watu maana najua angenogewa, mpaka nasepa TZ , yule dada anasema nimembania sana . I am sure vijana wa hovyo walimtembelea
 
Tatizo mwanamke akicheat kama kulipiza kisasi huwa anajikomoa mwenyewe na akibainika imekula kwake
Si anapata hela huko nje na style mpya, mashine mpya anajikomoa kwa kipi, kwani zinaacha mihuri huko kwenye kipochi😃😃😃
 
Huku ushenzini nilipo mke akifumaniwa jamaa wanadai fidia maisha yanaendelea, kwa kweli sijaona aliyeachwa kisa kuchepuka, huku hakunagana mke wa mtu Wala Mme wa mtu yaani watu wamejichokea
 
Mwanamke ukiona umesamehewa ni bora tu usepe, hakunaga msamaha jua unaandaliwa maumivu X2.
Binafsi kuna mwanamke nilimkamata with evidence, aliniomba msamaha hadi ndugu zake walimuombea msamaha. Kiukweli nilipretend maisha ndani ya miezi mi3 kiasi kwamba alijisahau kabisa. Nilivyoona kajaa kwenye mfumo. [emoji16][emoji16][emoji16] If God counts, ninakesi ya kujibu huko majuu
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom