Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, wanaume huwa wanadhani wanaweza lakini hawawezi.

Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume

KUNDI LA KWANZA
Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe msamaha sisi ni moja kwa moja tunapiga chini. Hatukupi muda hata wa kuzungumza.

KUNDI LA PILI
Hili ni kundi ambalo atajifanya kukusamehe lakini lazima kuna punishment utaipata mbele ya safari. Mojawapo ni kutoaminiwa. Kutakuwa na trust issues. Kwa mfano ukichelewa tu lazima atakumbushia, kwenye matumizi ya simu lazima atakufuatilia sana n.k Kidume anakuwa yupoyupo tu upendo sio kama zamani, hakuna msamaha hapo.

Kutokuaminiwa kwenye mahusiano huwa kunaondoa hisia za mahaba na upendo sana kwa mwanamke. Badala ya kufurahia ndoa utakuwa unavumilia ndoa. Shida yote ya nini kusanya virago ondoka.
  • Kwenye hili kundi kuna wale ambao wanawasamehe wake zao kwa ajili tu ya malezi ya watoto. Usijidanganye kuwa ni wewe umesamehewa, hapo mwanaume anachofikiria ni watoto tu sio wewe msaliti.

KUNDI LA TATU
Hawa ni wanaume ambao anakuacha muendelee kwa sababu akutumie tu hasa kwa sex na akipata option ya mwanamke mwingine utaona tu unaachwa anafanya hivyo ili kulipiza kisasi au kama punishment.

  • Hapa nitawapa mfano; kuna demu alinipa stori walikuwa kwenye serious relationship penzi motomoto akamcheat jamaa yake akajua. Jamaa akafanya kama amemsamehe aendelee tu kumla, siku ya siku miezi imeenda alisikia jamaa anafunga ndoa, siku 3 alijifungia ndani analia. Angefanya maamuzi mapema hii trauma isingemkuta.
Binti unaingia kwenye serious relationship unacheat unaachwa unarudia tena kosa hilohilo kwa mwanaume mwingine na mwingine unaachwa. Unafikiri umri unakusubiri tukutane 30s.

Kila mwanamke msaliti akiulizwa ilikuwaje ukamsaliti mpenzi wako? Utamsikia anasema ilikuwa bahati mbaya. Sasa kama bahati mbaya ilikuwaje ukanyoa hadi mavuzi?

Learn or perish
 
Ndugu zangu wanaume

Haijalishi mwanamke alikusamehe mara ngapi kwa kumcheat. Hilo ni chaguo lake na huna deni lolote kwake.

Ikiwa yeye atakucheat hata mara moja, game is over piga chini hapohapo hana haki kukukumbusha kuwa ulimcheat pia. Ni yeye mwenyewe aliamua kukusamehe

Usinase kwenye huo mtego. Atautumia kama silaha kukutawala na kukusaliti tena na tena utakuwa umeonyesha udhaifu na atautumia kukuadhibu.

By the way tunajua kucheat kwa mwanamke ni tofauti na kucheat kwa mwanaume.

Learn or perish
 
Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, huwa tunadhani tunaweza lakini hatuwezi.

Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume

KUNDI LA KWANZA
Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe msamaha sisi ni moja kwa moja tunapiga chini. Hatukupi muda hata wa kuzungumza.

KUNDI LA PILI
Hili ni kundi ambalo atajifanya kukusamehe lakini lazima kuna punishment utaipata mbele ya safari. Mojawapo ni kutoaminiwa. Kutakuwa na trust issues. Kwa mfano ukichelewa tu lazima atakumbushia, kwenye matumizi ya simu lazima atakufuatilia sana n.k Kidume anakuwa yupoyupo tu upendo sio kama zamani.
  • Kwenye hili kundi kuna wale ambao wanawasamehe wake zao kwa ajili tu ya malezi ya watoto. Usidhani umesamehewa mwanaume anachofikiria ni watoto tu sio wewe msaliti.
  • Kutokuaminiwa kwenye mahusiano huwa kunaondoa feelings sana kwa mwanamke. Badala ya kufurahia ndoa utakuwa unavumilia ndoa. Shida yote ya nini kusanya virago ondoka.

KUNDI LA TATU
Hawa ni wanaume ambao anakuacha muendelee kwa sababu akutumie tu hasa kwa sex na akipata option ya mwanamke mwingine utaona tu unaachwa anafanya hivyo ili kulipiza kisasi au kama punishment.

  • Hapa nitawapa mfano; kuna demu alinipa stori walikuwa kwenye serious relationship penzi motomoto akamcheat jamaa yake akajua. Jamaa akafanya kama amemsamehe aendelee tu kumla, siku ya siku miezi imeenda alisikia jamaa anafunga ndoa, siku 3 alijifungia ndani analia. Angefanya maamuzi mapema hii trauma isingemkuta.
Mwanamke unaingia kwenye serious relationship unacheat unaachwa unarudia tena kosa hilohilo kwa mwanaume mwingine na mwingine unaachwa. Unafikiri umri unakusubiri tukutane 30s.

Kila mwanamke msaliti akiulizwa ilikuwaje ukamsaliti mpenzi wako? Utamsikia ilikuwa bahati mbaya. Sasa kama bahati mbaya ilikuwaje ukanyoa hadi mavuzi?

Learn or perish

Na wanawake

Pale umeandika Mwanaume weka neno Mwanamke.

Ngoma drooooooo.

🤗
 
Huo ndio ukweli, sababu ni hizi hapa:-

1. mwanamke mpaka anacheat tayari hauko moyoni mwake hata ukimsugua masaa kumi hafeel chochote kwa sababu moyo wake haupo hapo. Na maandiko yanasema hazina yako iliko na ndiko moyo wako upo.

2. Mwanamke kumcheat mwanaume ni dharau kubwa kwa mwanaume kwa kiswahili kingine ni ufalme wa mwanaume unakuwa umefitinika na hapo hakuna mwanaume atakubali ufalme wake uangushwe na aendelee kukaa kimya.

3. Mwanaume ambaye mke wake anaisaliti ndoa huwa anadharaulika sana katika jamii, ataitwa majina ya kila namna, hata humu ndani mnaona wanaokula wake za watu wanavyojisifia kuonekana ni vidume, sasa mwanaume akigundua ndio maana kuna roho ya kinyama inaingia kwa mwanaume tunaona na kusikia familia nzima imeangamizwa, mara mtu kaungulizwa na mkaa hiyo ni impact ya dharau anayokutana nayo mwanaume pale anaposalitiwa.

Nahitimisha mwanamke ukimcheat mumeo/mpenzi wako na amegundua jiongeze uchape Lapa kwa usalama wako
 
Na wanawake

Pale umeandika Mwanaume weka neno Mwanamke.

Ngoma drooooooo.

🤗
kwa mwanamke iko tofauti sana, tena sana, mwanamke ukimsaliti na ukamuonyesha kuwa ilikuwa bahati mbaya, au yule mwanamke alikuwa anakuwinda muda mrefu kwa mitego mbali mbali, unakuwa umeshauhamisha ugomvi kutoka kwa mume kwenda kwa yule mchepuko na huku ndani kunabaki salama,
 
Huo ndio ukweli, sababu ni hizi hapa:-

1. mwanamke mpaka anacheat tayari hauko moyoni mwake hata ukimsugua masaa kumi hafeel chochote kwa sababu moyo wake haupo hapo. Na maandiko yanasema hazina yako iliko na ndiko moyo wako upo.

2. Mwanamke kumcheat mwanaume ni dharau kubwa kwa mwanaume kwa kiswahili kingine ni ufalme wa mwanaume unakuwa umefitinika na hapo hakuna mwanaume atakubali ufalme wake uangushwe na aendelee kukaa kimya.

3. Mwanaume ambaye mke wake anaisaliti ndoa huwa anadharaulika sana katika jamii, ataitwa majina ya kila namna, hata humu ndani mnaona wanaokula wake za watu wanavyojisifia kuonekana ni vidume, sasa mwanaume akigundua ndio maana kuna roho ya kinyama inaingia kwa mwanaume tunaona na kusikia familia nzima imeangamizwa, mara mtu kaungulizwa na mkaa hiyo ni impact ya dharau anayokutana nayo mwanaume pale anaposalitiwa.

Nahitimisha mwanamke ukimcheat mumeo/mpenzi wako na amegundua jiongeze uchape Lapa kwa usalama wako
Umefafanua kitaalamu sana mkuu
 
KUACHANA MWISHO CHALINZE

Mjini wote tunashare tu
Ukiona mwanaume hakuwekei mipaka unafanya unachotaka na wala haimshtui ujue hana upendo na wewe.

Ni kama tu malaya mwanaume atamnunua hapa akitoka kufanya yake atakuja mwanaume mwingine atamnunua malaya yuleyule, lakini huyu mwanaume wa kwanza wala haimuumizi

Ninachomaanisha ukiona mwanaume amefikia hatua kama hiyo kwa mwanamke ujue anamuoma tu kama wauza utamu
 
📌📌📌
 
Back
Top Bottom