Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Kuna asilimia ngapi ya talaka kati ya ndoa zinazofungwa kwa kila muda fulani
Katika mtaa wetu hapa Tengeru talaka hutolewa kwa asilimia 98 kati ya ndoa 10 zinazofungwa kwa miezi 3+

Sina takwimu kwa maeneo mengine ambayo siishi huko. Ila kwa kupita pita mitandaoni kupeana talaka na kugawana mali ndiyo zivumazo zaidi.
 
Tutusa hili.
 
Sasa kama mnaendekeza ndugi nakusikiliza wazazi wenu si shida hiyo?? Jingine sasa mna wafanyia visa wake zenu wameru , wachagga ni shida mtu akiolewa mnamganda kama nyie ndio mnapewa haki za msingi kumbe anapaswa kupewa haki ya msingi kuna mtu kafungiwa ndani na familia ya mume akawashiwa moto akachomeka . Akafa huko nkoandua sasa kwanini msiachwe
 
Hujakosea chakushangaza sasa hana akili kabisa , wanakuomba hela , hadi steam ya penzi inakata moto inaungua inakufa
Mie najua wadada ndio wanaoombaga hela humu kwa wanaume mabilionea wa jf, kumbe hata wanaume wa humu huombaga hela kwa wadada?

Mie simo.
 
Niweke takwimu za uhakika?

Mbona hiyo siyo taaluma yangu! utanisamehe kwa hilo mama.
Basi acha kuandika uongo remember no research no right to speak, kwa takwimu hizo basi tanzania ingekuwemo katika list ya nchi zinazoongoza kwa talaka ila haimo, ilihali ndoa bado zinaendelea kufungwa kila siku
 
Hata wewe ni umeandika uongo maana hujaambatanisha takwimu zozote zenye kuthibitisha kuwa wanaume wanaoa kwa wingi.

Mie sio muongo maana nilisha achana na aliyekuwa mke wangu. Sijui kwa upande wako kama unaishi katika ndoa yako
 
Women mungu anawaona upo radhi utembee uchi iliusifiwe umependeza kweli ni pambo ladunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…