Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Nikiona mtu anasoma kozi ambayo wewe unaiona ya ajabu ujue ana maelekezo

Kuna jamaa alikuwa anasoma record management chuo cha utumishi kumbe ameandaliwa chaka pale BOT

Tangu siku hiyo sidharau mtu hovyo hovyo hata awe anasomea kuwa librarian 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…