Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

Mfano sikiliza huyu


View: https://www.youtube.com/watch?v=P_nvkrUORWQ
 
Kwan kua single mother ni Dhambi sana? Wengi humu tumelelewa na Hao single mother ila mtandaon Hao Akina mama zetu ni wabaya shame
 
Kwan kua single mother ni Dhambi sana? Wengi humu tumelelewa na Hao single mother ila mtandaon Hao Akina mama zetu ni wabaya shame
Nimezungumzia vijana wa kike na wa kiume na jinsi uhalisia wa mambo ulivyo ukiachana na jinsi watu wanavyo behave humu. Nawajua wengi tu na wengine wameshatutapeli na inawezekana wakabadili I'd na wakaendelea kuwepo humu

Binafsi hata mimi nimelelewa na Mama tu. Simbezi wala kumdharau mwanmke wa aina yoyote hapa duniani.

Kumbuka Tajiri wa Amazon Jeff Bezos alitelekezwa na Baba yake akiwa na Mama yake. Lakini leo hii Jeff ameshakuwa Tajiri namba moja duniani na sasa hivi ni namba 3. Naheshimu mwanamke anayelea mtoto wake akiwa ana imani na kiumbe chake.

Usininukuu vibaya Mkuu nakwede97
 
Sasa kama USA embasy, wanaomba social media handles ili wakukague mawazo na michango yako kabla ya kukupa VISA uingie nchini mwao.

Kwann mwanaume usikague post za mke wako mtarajiwa?
 
sasa wewe demu anapost mitakoz mipajaza na mititi nje nje ukaoe sii ufala huo. hao ni wakuenjoy nao tuu.
 
Mwenyezi Mungu aturehemu! Tunahitaji hekima ya kuingia na kutoka kwenye mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…