Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

Kwa mwanamke tabia zinabadilika kisichobadikika ni usingle maza tu.
 
Tukioa wa la saba B mnatuona washamba haya sasa pambaneni
 
kwa kweli kuna wakati ukiwa na namba za simuza watu ukakutana na status anazopost unaweza usimuelewe kabisa huyo ni mtu wa aina gani ?
 
Sasa kama USA embasy, wanaomba social media handles ili wakukague mawazo na michango yako kabla ya kukupa VISA uingie nchini mwao.

Kwann mwanaume usikague post za mke wako mtarajiwa?
ila wanachokagua Us embassy ni mambo yao ya ugaidi sijui na usalama wa nchi yao. hawajali kama mtu anajihusisha na mambo mengine mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…