Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Hata kama ukimpata Kwa nini usiende kituo Cha watoto yatima uka adopt mtoto mchanga kabisa nakuhakikishia utapata hisia kama mtoto wako tu!kikubwa mpe mapenzi yote.Pole sana
 
Pesa tena? Tunafanya uwekezaji?
 
Kama upo serous kabisa naweza kukusaidia ukapata mtoto na kuleta ushuhuda usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…