Achaneni na hizi propaganda za mwaka 47 dunia ya leo hazifanyi kazi kwa hawa wanawake waliosoma na kuelimika mkuu hawa siyo kama bibi zetu waliodanganywa kirahisi in the name of mila na desturi, ni kama zile za wazee wetu kusema mwanamke akizaa watoto wa kike ni kosa lake lakini baadaye sayansi ikaja kuthibitisha kwamba mbegu za baba ndio huamua jinsia ya mtoto na si mayai ya mama, wanaume wagumba wapo wengi tu duniani acheni kutafuta visingizio vya kipumbavu vya kutaka kuwaangushia lawama zote wanawake ili wanaume muonekane innocent siku zoteSamahani from the experience hakuna mwanaume mwenye changamoto ya kupata mtoto. Ni uaminifu wa mwanamke tu.
Nina watoto wawili wazuri tu na wenye akili.
Mkuu,
Anatoa ushauri halafu anakimbilia kujihami 😂This is too personal akili kaniazima🤣🤣🤣🤣
Sayunii I miss youMungu akusaidie upate mtu sahihi
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuHabari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Dah. Hii koment imetoka KWA kungwi. AseeeeeeeeeMapesa ya nini sasa dada, hapo kikubwa si hii 🍆 tu.....asimamie 1hr +
Miss you too, dearSayunii I miss you
Bruh ov mine ongeza jambo me nakuskiza kakaMkuu,
Na wiwa niongezee hili Jimbo 😆☺️ unasemaje kwenye hili nipo curious & seriously 😳
Kwahiyo wengine watoto wetu sio wazurii au 🤔Nina watoto wawili wazuri tu na wenye akili.
Najivunia kuwa nao.
Sio kwamba ntapata matatizo kua na mitala kaka.Bruh ov mine ongeza jambo me nakuskiza kaka
Wote ni wazuri lakini Kila mutu anajukumu la kusifia batoto bake, sababu ndoa ulifungaga menyewe na kunyumba ulitengenezaga.Kwahiyo wengine watoto wetu sio wazurii au 🤔