Pole sana Dada angu, lakini ungetafuta mwanaume yeyote tu ambaye ataweza kukuvumilia na kukupenda kwa dhati.Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Hah htre sana mkuu,me naona sio nzuriSio kwamba ntapata matatizo kua na mitala kaka.
Sio nzurii kabisaaHah htre sana mkuu,me naona sio nzuri
Thanks fungua Pm nikusabahiMiss you too, dear
Have a blessed Sunday
Hahaha ni htreeSio nzurii kabisaa
Dada Stel Hii hoja ya huyu mtaalam umeiona?.Ikiwa, reproductive physiology ipo kama ilivyotoka kwa Mungu, haijapigwa makoleo kwa kutaka, labda kwa changamoto ya lazima tu (kwa recommendation za daktar).
Naweza kukusaidia. Ikiwa tofauti Siwezi.
Yupo kajaa tele.Chura yupo???
Wewe ni ke au me??? Maana sijakuelewa??Yupo kajaa tele.
Mimi ni Dume la mbegu, huyo bidada mleta uzi namjua, chura anayo kwa hiyo usiwaze mwamba.Wewe ni ke au me??? Maana sijakuelewa??
Mwanamke.Wewe ni ke au me??? Maana sijakuelewa??
Shida unaanza kuweka kigezo cha uchumi mzuriHabari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Sasa kamq katolewa kizazi unataka miujiza gani 🤔Sasa wewe unachangamoto ya kupata mtoto si utafute tu ambaye hana changamoto hiyo huwezijua miujiza hutokea unaweza ukanasa kwa neema ya Mungu
apo wachawi ni p2 na wenzake majani ya chai n.kSasa kamq katolewa kizazi unataka miujiza gani 🤔