gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Asantemmmh jamani
Pole.
Yaani chemistry ilikuwepo, age mate,mpenzi,rafiki,mke..acha tuHuwa ipo hivyo kaka!
Ni ngumu sana moyo kufunguka kwa mwanamke mwingine. Na hasa kama ulimpenda kwa dhati.
Ila we jamaa πDah! Pole sana mkuu..
Kilikuwa chuma haswaa alafu anafanana na mpenzi wangu enzi za chuoni ila sio huyo wako , ila wanataka fanana
Duh! maneno mazito sana haya.Sio lazima niwe mvuto katika jamii
Sishindani na fala yoyote
Sibabaishwi na urembo wa mwanamke yoyote, wapo wa kununua hata aftano
Hata kama mnanidharau , nikifa lazima mtaokota tu mwili wangu maana harufu yake itawakeraπ
Na wewe maoni yako ni yapi ?Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Na atalilia denda
Hapo inaelekea ilipigwa shoo ya kibabe sana!!
Ukishajikubali mwenyewe hakunaga tatizo ila tatizo ni pale unapojilinganisha na wengineSio lazima niwe mvuto katika jamii
Sishindani na fala yoyote
Sibabaishwi na urembo wa mwanamke yoyote, wapo wa kununua hata aftano
Hata kama mnanidharau , nikifa lazima mtaokota tu mwili wangu maana harufu yake itawakeraπ
Acha basiπNaona Muslimah ShesRise_1 umenipa like leo ntaota π
Mwanaume iwe bible iwe Qur'an imemtaja kama kicwa cha familiaNini maoni yako ukizingatia imani yako ya kidini ? Maana Uislamu ndio dini inayoelezea uhalisia wa maisha yetu hapa duniani
Hii mada imekaa kichokozi kwa sababu hata Baba zetu ni Wanaume na bado we are still proud of them walitubeba viunoni mwao πAcha basiπ
Mwanaume iwe bible iwe Qur'an imemtaja kama kicwa cha familia
Hii ni Asili ya uumbaji
Mwanaume hapaswi kupimwa uanaume wake au mvuto kwa vile anavyovimiliki
Bali apimwe kwa character zake zina mfanya awe Mwanaume!
La mwisho Mwanaume kwa asili ni m miliki
So akimiliki pesa na mali nyingi
Huongeza mvuto na ushawishi hasa kwa dunia ya sasa
Kumbe hii hoja imetoka kwenye maandiko sio mtazamo wa jmii zetuMimi sijui Sasa π π π .
Hadi nisome maandiko nione yanasemaje
Ni kweliHii mada imekaa kichokozi kwa sababu hata Baba zetu ni Wanaume na bado we are still proud of them walitubeba viunoni mwao π
Hatuwezi kushusha hadhi ya Wanaume kwa sababu ya kukosa pesa, na wewe unaelewa hata hii riziki ni mtihani Allah humpa amtakae na humnyima amtakae... Huwezi ukakosa kabisa lakini utapata kile unachostahili..
Tafuta mawaidha ya Shehe Mohamed Omary - Starehe katika maisha yako ndio utaelewa.
Niache vipi Muslimah? Nimekupalia minyama ya kutosha? π€£Acha basiπ
Zingatia mistari miwili ya mwisho hapoNi kweli
shukrani kakaπ
Ku ku like tu ndio sifa zimwagwe namna hiiπ€£ shukrani π€Niache vipi Muslimah? Nimekupalia minyama ya kutosha? π€£
Sawa nitapitia πZingatia mistari miwili ya mwisho hapo
It looks like a glimpse πππKu ku like tu ndio sifa zimwagwe namna hiiπ€£ shukrani π€
Ila wewe lol πIt looks like a glimpse πππ