Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Mwandiko tu hautoshi, mbona mnawananga wanaosema wanawapenda wadada hata kabla hawajawaona?
Sijamjua ila nimesema tu, ni vizuri kuwa positive tu, kupenda bila kuona ni upwiru tu
 
Hatakama huna pesa na ukaheshimiwa ila moyoni lazima uwe na kidonda yaani kuna namna unajidharau wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ