ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mbona kama huogopi sasa πLakini naogopa π
Mtoa pesa alie makini, anaweza afanye saving zake akupeleke hata kichakani ujueπ€Kujikubali tu. Hayo mengine atajua mtoa pesa ππ
Sema tu kwa mtazamo wako!Nikisema kiasi wataanza kusema matajiri wa Jf hivi mara vile
Kwa nini tusipime mkuuπNyie ni wabaya π
Kwa hiyo mnatupimiaga tu π
Kujiamini ni jadi yangu. Hakuna wa kufanya hivyo Kwa niaba yangu isipokuwa Mimi mwenyeweUnajiamini Hadi rahaa π
Ondoa shaka, kuna baiskeli itakuja ikuchukue hapo ulipoNitumie tiketi Sasa nije π
Boldness ndio inakuwaje mkuu?hivi kwa wanaume kama vile Vladimir Putin, Elon Musk, Aliko Dangote na ndugu yangu sana Bill Gates wanaweza kua wamepitia changamoto hiyo?
Mi nadhani mvuto wa mwanaume katika jamii yoyote ile huchochewa zaidi na boldness yake katika kuonyesha njia, kuchukua hatua kwa maneno na matendo. Pesa inaweza tu kutumika kuestablish hiyo boldness ya mwanaume huyo kamili katika kuchukua hatua zaidi.
Tofauti na hapo huenda ndio changamoto uliyoitaja inaweza kujionyesha.π
Kila kituMnaanziaga wapi, kwenye nywele au Kiatu π .
Au mnapima kwa ma cable?
Haya maa usiku mwema π€Hujaniona tu.
Hapa natetemeka π
Lala unonoNa mimi nalala Sasa hivi π
Kukabiliana na ukweli ni jambo gumu kidogoππ
Hao walikosa maarifa mkuu...Kuna wenye akili nyingi ila wako nyumbani tu wamekaa