Nilijua mimi handsome nilipotoka sebuleni Niko ghetto namsikia mzee anamwambia bi mkubwa 'kijana mzuri kwelikweli'π π π π
1. Akili unaipima na nini??Akili + Maarifa + Right timing
sema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sanaMvuto una vitu vingi na hivyo vikiwemo
π€£π€£vip kuhusu muonekanoTako hana tako hana thamani machoni paa jamii
Sawa hata kam sina mvuto ndio uanzishe uzi bila kuwasalimia hata hao wenye mvuto mkuu πJamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
wakiwa wamana nao watakuwa vibonge kama mama ni swala la mda mkuu ( mala nyingi kujua mwili wa mtoto wa kike angalia mama yake ) japo kuna mda sio sahihi 100% π πSiyo kweli,mama yetu mfupi mnene kilo mia,dada zetu model nyama na wapo 40s na Wana watoto watatu kuendelea
Sawa mkuu
Sijui tukoje sisi π π πsema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sana
Haki bin hakiSawa mkuu
bado sijashawishika na minyamaa, acha tubaki na vimbau mbau vyetu, hata ukiwa nako kwenye vitu unaona kama una ka dominate hata kama kame ku domite ila sio vibokoo aiseee π πMinyama Ina Raha yake sometimes
Take my left shoulder for the big hug...πMwanaume mwanaume tu jamani π π π
Unachakata tu πNilijua mimi handsome nilipotoka sebuleni Niko ghetto namsikia mzee anamwambia bi mkubwa 'kijana mzuri kwelikweli'
Sasa mimi mtaani nikawa Sina zile kubagua hadhi madem,mi natwanga tu na napenda madem wa kiswazi,hapo nasoma chuo
Madem wengine masista du eti 'hata hajali hadhi yake,anatembea na madem gani wale'..k hainΓ hadhi wala grade bana!
Ni mtihani sana, hapo kaniwakia imepita siku kadhaa kaleta invoice ya maana, nikamuuliza ndio umeamua kutaka kunitumia au vipi maana mbona sielewi ? badae tukaja kuwa marafiki tu maana kwenye combination ya mapenzi iligoma ilikuwa kama tunakuwa vitani.. π πSijui tukoje sisi π π π
Kama huyo marehem mke wangu kwenye avatar yangu,kisu haswasema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sana
Ukiwa hauna pesa ndio unapaswa mashine isifanye kazi, kichwa cha juu kipate nafasi ya kuwaza kupata pesaUna pesa alfu mashine haifanyi kazi sasa nauliza huu mkusanyiko ambao pesa inakufanya uwe ukatakuwa umekupa raha gani ?