Huu unabii mnaubadilishaNa siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
isaya 4:1
We babu comments zako na umri havilingani ππππAisee mimi na bahati mbaya nikimwaga tu mtu anakula mimba, sasa nina comment wapi?
Jaman Kwan we huwez zaaa?Jobless tunaruhusiwa kuja?
Acha upumbavu/ujinga Kwamba baba wa watoto a/wa-mekufa au ulibakwa ndio ukapata hao watoto mapacha watatu au wamekataliwa na baba zao. Huwezi ukamilikisha damu ya mtu kwa watu wengine ovyoovyo tu hata kama baba yao amekufa. Maana hata ukisema baba zao wamewakataa itakua ni ajabu watoto watatu wote kukataliwa labda kama ni mapacha.but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu.
Ngoja nifanyie kazi hili.. kwa kweli nimeona itakuwa ni jambo jema kwa rosita kufanikiwa kwenye hili, kwake, kwa watoto na hata baba yao. Familia ndio msingi wa Jamii iliyo bora.Boss msaidie kumpatia rafiki huko uliko mwenye vigezo. Jf naona hapa wana m joke joke kwa uzi
Kwani JF ni wapi na huko sehemu nyingine ni wapi?Sio kwa JF humu jaribu sehemu nyingine ila kila mtu na bahati yake endelea kupambana
ndo mnavyojificha hivyo na utabiri wenu....sehem gani kwe biblia ushasikia kuna kitu kinaitwa kanisa...wewe cha umuhmu ni imani makanisa ni mapokeo mliymezeshwa ndo maana mnaamini unabii wa utajiri na kutafutiwa waume kuliko imani na kweli...sasa huyu dada ameudhiwa kidogo anataka badilisha uzao wa watoto wake...vp huyu mme hanithi anayetaka aolewe naye na akiwa na matatizo mbeleni je ata wabadili tena hao watoto majina na ashawahi waza madhara ya anachokifanya kwa hao watoto huko mbeleni...ningemwelewa kama baba wa watoto angekua amefariki...na sidhani kwanza kama sheria za nchi zinaruhusu kubadili ubini wa baba bila makubaliano na wazazi pande zote mbili.....WANAWAKE PUNGUZENI UFEMINISM...mtaishia kutafuta hadi madildo ya vimbwa viwaridhisheHuu unabii mnaubadilisha
Ulikuwa hauhusu wanawake Bali makanisa. Kwamba siku za mwisho makanisa yataibuka mengi kila moja likitaka liitwe kwa jina la Yesu lakini likiwa na Mafundisho ambayo sio ya Yesu. Yani ki kubwa litajwe tu kwa jina la Yesu.
Maipotoshe tafsiri
Khaaa mbona povu hivyo boss? Can't stand that negative energy.ndo mnavyojificha hivyo na utabiri wenu....sehem gani kwe biblia ushasikia kuna kitu kinaitwa kanisa...wewe cha umuhmu ni imani makanisa ni mapokeo mliymezeshwa ndo maana mnaamini unabii wa utajiri na kutafutiwa waume kuliko imani na kweli...sasa huyu dada ameudhiwa kidogo anataka badilisha uzao wa watoto wake...vp huyu mme hanithi anayetaka aolewe naye na akiwa na matatizo mbeleni je ata wabadili tena hao watoto majina na ashawahi waza madhara ya anachokifanya kwa hao watoto huko mbeleni...ningemwelewa kama baba wa watoto angekua amefariki...na sidhani kwanza kama sheria za nchi zinaruhusu kubadili ubini wa baba bila makubaliano na wazazi pande zote mbili.....WANAWAKE PUNGUZENI UFEMINISM...mtaishia kutafuta hadi madildo ya vimbwa viwaridhishe
Wee utanifaaa....ila kabla sijaja pm niwe mkweli kabisa mie hiv + vipi utanikubali?Habari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊWee utanifaaa....ila kabla sijaja pm niwe mkweli kabisa mie hiv + vipi utanikubali?
Mbona mie wote humu jf wanajua kuwa mie hiv positive mwaka wa 17 huuπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
We kaka wee
Au wewe ni agrey maana ye ye ndo amejiweka waziπππππ
Uzee mwisho Chalinze wote tuliopo mjini ni vijana handsomeWe babu comments zako na umri havilingani ππππ
Ntakusemea kwa mkeo shaur yako
Mfuate pm huenda ukapata mnaendanaWee utanifaaa....ila kabla sijaja pm niwe mkweli kabisa mie hiv + vipi utanikubali?
SiaminiMbona mie wote humu jf wanajua kuwa mie hiv positive mwaka wa 17 huu
ππππUzee mwisho Chalinze wote tuliopo mjini ni vijana handsome
Heh jaman,,umenifungua aseeee asante,,huo mstari sijawahi uelewa kwa tafsiri hiiβ€οΈHuu unabii mnaubadilisha
Ulikuwa hauhusu wanawake Bali makanisa. Kwamba siku za mwisho makanisa yataibuka mengi kila moja likitaka liitwe kwa jina la Yesu lakini likiwa na Mafundisho ambayo sio ya Yesu. Yani ki kubwa litajwe tu kwa jina la Yesu.
Maipotoshe tafsiri