Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Habari ya kutoa huduma kwa mtu wa leo na kesho ife

Bro unaongea ukweli mtupu

Hii kampeni muhimu sana kuwafungua macho vijana

Mademu sio wa kuwatunza au kuwahudumia ni kulipia ya uchakavu tu
 
Habari ya kutoa huduma kwa mtu wa leo na kesho ife

Bro unaongea ukweli mtupu

Hii kampeni muhimu sana kuwafungua macho vijana

Mademu sio wa kuwatunza au kuwahudumia ni kulipia ya uchakavu tu
Kuhudumia libaki jukumu la wazazi wao hadi wakiolewa, vijana acheni ujinga wa kutoa pesa hovyo, soon tunakuwa nchi ya kibepari kweli kweli, maliza rasilimali zako uone kama yupo wa kukushika mkono kesho.
 
Huu ujinga sijui utawatoka lini, hivi mwanaume asipokupa hela yake anakuwa amevunja sheria ipi kikatiba? Huu ujinga wa kutumia wanaume ndio unawapaga kiburi hata ya kuwa na mabwana 6 kwa mpigo sababu mnafaidika zaidi na mahusiano kuliko hata uwekezaji mnaofanya.
Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...

Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
 
Sasa ww mleta mada una tofauti gani na mwanamke tena singo maza. Acha ujinga mambo mengne sio lazima uyatoe kwenye fikra zako fikiri alafu vunga ni ujinga ulio andika hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…