Sasa una laki upewe elfu 10 ya kazi gani? 🤣Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...
Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
Huyu mwanamke yupoje? 🤣Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...
Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
we nae utagongaje bila miguno we mvunja mabarafu?!?!.....Mimi ingewezekana baada ya kumlipa hela demu,ningekua namfunga ili asipate utamu,nipate utamu peke yangu tu niliyelipa hela zangu.
Tofautisha kwanza malaya na mpenziBasi umedanganywa
Mwanamume anaweza akamhonga mwanamke ila lengo ni utelezi tu
Akimega anasepa
Kwani malaya tunavyowanunua tunawapenda?
Hizo mindset zenu ndio zinafanya mnamegwa ovyovyo tukiwapa pesa mkijua tunawapenda
Maisha yamebadilika sana sikuhizinashangaa hapa wanakemea kutoa matunzo lakini utawakuta uzi mwingine wanasema hawataki mwanamke anaejimudu(superwoman)
Chuma ulete huyo 🤣Sasa una laki upewe elfu 10 ya kazi gani? 🤣
Kurukia nini?Msigome kuirukia jamani. Amen.
Vipi shindikana umeacha ubahili?Maisha yamebadilika sana sikuhizi
Njaa zingine za kisenge, kwanza hio laki hana maana una laki unaanzaje kuwaza elfu kumi ya mtu mwengine.Chuma ulete huyo 🤣
Honestly Jadda can be my friend in person….. you sounds exactly like me…Ni kama ninyi mnavyosemaga ukiona mwanamke hakupi 'k' muda wowote unaotaka ujue hakupendi kwamba lazima kuna mwamba anampa muda wowote anaotaka, sasa na wao wanatembea mule mule kwamba ukiona mwanaume hakupi hela muda wowote unaotaka ujue hakupendi na lazima kuna mwanamke mwingine huko anampa muda wowote anaotaka, uzuri huwa mnasema wenyewe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so wala msiwalaumu wanawake
Wanaotoa bila kuombwa Mungu awabariki sana.Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...
Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
Mi sio bahili mkuu🤣 ulininukuu vibaya. Mwanamke anayestahili hongo ni mwenye cheti cha ndoa tu na mimi. Nyie vyombo vya starehe lengo litabakia kuwa starehe tu. Zingatia neno starehe. Kutiana hasara haijawahi kuwa stareheVipi shindikana umeacha ubahili?
Kama unaomba mpaka Hela ya ped basi Tena huna SIFA ya KUWA mke wa mtuKukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Nikuongezee jambo hapo, sio wako tu ila awe mke wako. Hawa wa kuyafanya mahusiano ni ajira, ni wa kwenda nao kimtombano mtombano tu.Vijana msidanganyike hata kidogo, swala la kuhudumia mwanamke asiye wako ni kujipa majukumu yasiyo yako, unalipa rent ya baby wako, hujui kuna wangapi wanafanya hivyo, unampa ukpeek weekly au monthly, huwezi jua mnafanya hivyo wangapi. Ni sawa na wale jamaa zangu washamba wanaosomesha wanawake.
Usitumie resources zako vibaya, hutapata shukrani siku mkimwagana zaidi ya kuambiwa huna lolote..
Wanaopewa bila kuomba ni yatima tu. Nyie wenye wazazi pambaneni na wazazi wenu.Wanaotoa bila kuombwa Mungu awabariki sana.
dyudyu.Kurukia nini?
🤣🤣🤣 hawa viumbe ni wabinafsi sana ukiwaendekeza na njaa zao unafeli. Anajifanya expensive sio? Kumbe ananuka njaaNjaa zingine za kisenge, kwanza hio laki hana maana una laki unaanzaje kuwaza elfu kumi ya mtu mwengine.