Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa una laki upewe elfu 10 ya kazi gani? 🤣Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...
Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!