Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Ninawashauri watafute pesa watafurahia mapenzi, vinginevyo wataliwa na kila mwenye pesa.
 
Mpenzi wako kukuomba hela inawezekana ila lazima ichukue muda sio ghafla. Na pia iwe kwa sababu ambayo haina mashaka yoyote. Mwaka 2015 aliyekuwa mpenzi wangu mwaminifu aliniomba Tsh 20k walikuwa wanaenda Tanga kwenye sherehe ila yeye alikuwa hana hela kabisa ingawa usafiri ulikuwa upo wa familia. Nikamtumia saa hiyohiyo kwasababu tulikuwa na zaidi ya mwaka mapenzini na hakuwahi kuniomba hela. Yule binti alikuja kuniomba tena hela mara ya pili, Tsh 10k mwaka 2016 mwanzoni. Halafu nilikuwaga na tabia ya kufanya ziara za kushtukiza kwenye simu yake.. yaani nilikuwa nakagua hadi settings sipati cha maana kuashiria uhalifu. Bahati mbaya akaja kuniacha kwasababu nilishawishiwa kula tunda na mdada fulani mweupe mwenye tako kubwa. Yule mpenzi wangu mwaminifu hakunisamehe na baada ya miaka miwili aliolewa.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Fanyeni kazi acheni kuwa ombaomba


Ila bongo umasikini ni mwingi sana kama umeishi mbele ukija kuanza kudate na mademu wa bongo utaona unavyodate na masikini [emoji2]

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Imagine..
Kuna kama sie hapa hatuombangi[emoji1]
Ila utasikia tu ki'message hichoo...Imedhibitishwa....

Sasa Wanaume wa hivi si ni wakuwaombea mchana na Usiku jamani....
We ni malaya usiekaa Barabarani


Sorry to say this wengine Huwa hatufichi.


Yoyote anaeuza utu wake Kwa pesa huyo ni malaya either way kisiasa , kimapenzi n.k

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Hawa chapa Mashine wape Hela kishatimua!

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Na kwa nini uwe na pisi hiyohiyo moja....? Uipige chini ndio uanze kuhangaika kutafuta nyingine. Inatakiwa uwe na minimum pisi tatu za uhakika
 
Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...

Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
mwanaume yoyote anayempenda manzi wake lazima utatoa tu bila hata kuombwa ila issue inakuja hivi pamoja na kumpa still atakuwa anakuomba sana nakulakuongeza zaidi utakuta pamoja na kumpa kwako hela still hakupi thamani unayostahili hapa ndipo wanawaume wengi inapowakera
 
"Mwanamke anayekupenda kamwe hakuombi hela yaani bora umuue ila sio akuombe hela"

Alisikika jobless mmoja akiwa ameketi katika sofa za shemeji yake, huku ameshika remote, akibadili channel..πŸ˜‚
 
What!! Like seriously πŸ€”
 
"Mwanamke anayekupenda kamwe hakuombi hela yaani bora umuue ila sio akuombe hela"

Alisikika jobless mmoja akiwa ameketi katika sofa za shemeji yake, huku ameshika remote, akibadili channel..πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 Spare my ribs bro
 
Kitu cha kufurahisha misimamo mnaweka na kichwa cha juu, ila ukifika utekelezaji kichwa cha chini hakiwezi kukuelewa na lazima ukisikilize la sivyo madhara unayajua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Enyewe hapo umesema Kweli, wanaume huwa tunateseka Sana kutengeneza equilibrium Kati ya kichwa Cha juu na Cha chiniπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…