Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

This is true. Kuna mwanamke katika mipango yetu nlimwambiaga ntampa 5m afanye biashara sasa akawa akiomba hela nampa mara mbili yan kama elfu hamsini nampa laki hiyo nyingine asave aniwekee nna shida nayo. Zoezi likaenda vizuri na liliambatana na record matata kwenye excel moja kwenye pc yangu, baada ya mwaka zikafika zile hela excel si ilikuwa inajumlisha nikamwomba ile hela naona analeta M1, nikaichukua nikamwambia ukweli ilitakiwa iwe 5M na hii ndio hela nilitaka kukupa, nikaigawa ile hela nusu kwa nusu tukagawana hasara na stori ikaishia hapo.
Ninawashauri watafute pesa watafurahia mapenzi, vinginevyo wataliwa na kila mwenye pesa.
 
Mpenzi wako kukuomba hela inawezekana ila lazima ichukue muda sio ghafla. Na pia iwe kwa sababu ambayo haina mashaka yoyote. Mwaka 2015 aliyekuwa mpenzi wangu mwaminifu aliniomba Tsh 20k walikuwa wanaenda Tanga kwenye sherehe ila yeye alikuwa hana hela kabisa ingawa usafiri ulikuwa upo wa familia. Nikamtumia saa hiyohiyo kwasababu tulikuwa na zaidi ya mwaka mapenzini na hakuwahi kuniomba hela. Yule binti alikuja kuniomba tena hela mara ya pili, Tsh 10k mwaka 2016 mwanzoni. Halafu nilikuwaga na tabia ya kufanya ziara za kushtukiza kwenye simu yake.. yaani nilikuwa nakagua hadi settings sipati cha maana kuashiria uhalifu. Bahati mbaya akaja kuniacha kwasababu nilishawishiwa kula tunda na mdada fulani mweupe mwenye tako kubwa. Yule mpenzi wangu mwaminifu hakunisamehe na baada ya miaka miwili aliolewa.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Fanyeni kazi acheni kuwa ombaomba

Ila bongo umasikini ni mwingi sana kama umeishi mbele ukija kuanza kudate na mademu wa bongo utaona unavyodate na masikini [emoji2]

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Imagine..
Kuna kama sie hapa hatuombangi[emoji1]
Ila utasikia tu ki'message hichoo...Imedhibitishwa....

Sasa Wanaume wa hivi si ni wakuwaombea mchana na Usiku jamani....
We ni malaya usiekaa Barabarani

Sorry to say this wengine Huwa hatufichi.

Yoyote anaeuza utu wake Kwa pesa huyo ni malaya either way kisiasa , kimapenzi n.k

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Huu ujinga sijui utawatoka lini, hivi mwanaume asipokupa hela yake anakuwa amevunja sheria ipi kikatiba? Huu ujinga wa kutumia wanaume ndio unawapaga kiburi hata ya kuwa na mabwana 6 kwa mpigo sababu mnafaidika zaidi na mahusiano kuliko hata uwekezaji mnaofanya.
Mkuu Hawa chapa Mashine wape Hela kishatimua!

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.

Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa[emoji848]

Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.

Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Na kwa nini uwe na pisi hiyohiyo moja....? Uipige chini ndio uanze kuhangaika kutafuta nyingine. Inatakiwa uwe na minimum pisi tatu za uhakika
 
Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...

Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
mwanaume yoyote anayempenda manzi wake lazima utatoa tu bila hata kuombwa ila issue inakuja hivi pamoja na kumpa still atakuwa anakuomba sana nakulakuongeza zaidi utakuta pamoja na kumpa kwako hela still hakupi thamani unayostahili hapa ndipo wanawaume wengi inapowakera
 
"Mwanamke anayekupenda kamwe hakuombi hela yaani bora umuue ila sio akuombe hela"

Alisikika jobless mmoja akiwa ameketi katika sofa za shemeji yake, huku ameshika remote, akibadili channel..😂
 
Mpenzi wako kukuomba hela inawezekana ila lazima ichukue muda sio ghafla. Na pia iwe kwa sababu ambayo haina mashaka yoyote. Mwaka 2015 aliyekuwa mpenzi wangu mwaminifu aliniomba Tsh 20k walikuwa wanaenda Tanga kwenye sherehe ila yeye alikuwa hana hela kabisa ingawa usafiri ulikuwa upo wa familia. Nikamtumia saa hiyohiyo kwasababu tulikuwa na zaidi ya mwaka mapenzini na hakuwahi kuniomba hela. Yule binti alikuja kuniomba tena hela mara ya pili, Tsh 10k mwaka 2016 mwanzoni. Halafu nilikuwaga na tabia ya kufanya ziara za kushtukiza kwenye simu yake.. yaani nilikuwa nakagua hadi settings sipati cha maana kuashiria uhalifu. Bahati mbaya akaja kuniacha kwasababu nilishawishiwa kula tunda na mdada fulani mweupe mwenye tako kubwa. Yule mpenzi wangu mwaminifu hakunisamehe na baada ya miaka miwili aliolewa.
What!! Like seriously 🤔
 
"Mwanamke anayekupenda kamwe hakuombi hela yaani bora umuue ila sio akuombe hela"

Alisikika jobless mmoja akiwa ameketi katika sofa za shemeji yake, huku ameshika remote, akibadili channel..😂
🤣🤣🤣🤣 Spare my ribs bro
 
Kitu cha kufurahisha misimamo mnaweka na kichwa cha juu, ila ukifika utekelezaji kichwa cha chini hakiwezi kukuelewa na lazima ukisikilize la sivyo madhara unayajua 😂😂😂😂
Enyewe hapo umesema Kweli, wanaume huwa tunateseka Sana kutengeneza equilibrium Kati ya kichwa Cha juu na Cha chini😂
 
Back
Top Bottom