Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace🙏
Inawezekana pia hatutimizi majukumu yetu. Haiwezekani kila mtu akawa perfect
Kuna kitu tunakosea, watu kuonana sio kwamba Wana uzuri kuliko wengine au Mme hataona wanawake warembo kuliko mkewe kama ambavyo Mke atavutiwa na wanaume wengine ambao sio Mme wake, hiyo haiepukiki.
Zingatia kuwa Kitu pekee kinachoweza kushikilia ndoa ni UPENDO na sio zaidi ya hapo.
Sio Mara zote, kama ambavyo na wewe umeandika Kuna watu wameoana bila upendo, inamaana zipo ndoa zisizo na upendo. Lakini sio Kila upendo huzaa ndoa.
Hapa tunazungumzia 90% Mkuu.
Mwanaume hawezi kuishi na Mwanamke asiyempenda MKUU.
Mwanaume linapokuja suala la michepuko, anacholinda Kwa mkewe sio upendo, ni HESHIMA. Tusichanganye hivyo vitu viwili japo vinahusiana. Asilimia 90 Kwa utafiti upi na wanaume wa wapi?
Mkuu upendo ndio unaleta Heshima sijui kama unaelewa unachokisema.
Mwanaume upendo ukiisha wote Kwa Mkewe haoni shida kumuonyeshea Live MICHEPUKO yake.
Vipo visa vya namna hiyo.
Halikadhalika na Mwanamke, ukiona anakuheshimu au anakutii Sana ujue bado roho ya Upendo IPO ndani mwake.
Aidha anakupenda au anapenda pesa au Mali zako.
Hakuna heshima Kwa mtu Kama humpendi.
Na Kama humpendi mtu alafu unaona unamheshimu basi jua kuwa hiyo sio Heshima Bali UOGA. Yaani unamuogopa/unaogopa
Hapa tunazungumzia 90% Mkuu.
Mwanaume hawezi kuishi na Mwanamke asiyempenda MKUU.
Utamfanyia vimbwanga vya michepuko na kumsaliti mtu unaempenda?
Tena hapa niende mbali zaidi, heshima nnaiongelea hapa ni Ile mtu anatunza heshima yake Kwa jamii kwamba itamwelewa vipi, sio ya Mme au Mke wake.
Shida ni pale unapotaka mtizamo wako uwe ndio uhalisia Kwa watu wote, haiko hivyo. Kumbuka nasisi ni wanaume tunaishia kwenye jamii hii hii.Mwanaume anaweza kuwa anakupenda 100% na bado akachepuka.
Kiasili mwanaume ni Polygamist Hilo weka kichwani. Hivyo MICHEPUKO ipo Kama mbadala ya Kuoa wake wengi.
Vimbwanga mwanaume atavifanya endapo upendo Kwa mkewe umeisha.
Mwanaume ukiona hamuachi mkewe ujue anampenda wala usije ukadanganywa kuwa ati analinda sijui heshima yake ndani ya jamii.
Kwa tangu lini Talaka ikawa ni kujishushia heshima, talaka ipo kisheria na Kidini. Sio Jambo la aibu Kama unavyoli-address hapa.
Ukiona Mtu hamuachi mkewe ujue bado anampenda, weka akili hiyo.
Sababu zingine labda siku mgawanyo WA Mali n.k. hasa Kwa watu masikini
"..Michepuko inajituma sababu inahudumiwa ipasavyo.." -- Hii statement haipo sawaWanaume mme umbiwa tamaa kwel lakn kunamda mnatukosea Sana wake zenu kwel kunamda tunasahau majukum yetu Kama wake lakn kunamda mtu unaamua tu kuacha sio kwamba kujisahau ila mtu unaamua tuu kuacha
Yame isha[emoji3][emoji3]Mtoa mada
Uko sahii kabisa,
MKE Ni wakudumu,
Mchepuko Ni wakupita
NB: ila sio kwa mamaJ[emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli usiopingika .....Siyo kweli....
Ukweli ni kwamba wanaume huwa tunatumia ubongo zaidi kuliko moyo..
Wanawake wanafuata mioyo zaidi kuliko bongo zao...
Mwanaume anaweza kuupenda mchepuko mara 100 zaidi ya mke wake, ila kamwe hatokubali huo mchepuko uharibu ndoa yake au ulete sintofahamu yoyote ile kwa mke wake, na heshima kwa mke inabaki palepale..
Wakati huohuo, mwanamke akipagawishwa vizuri huko nje, basi tegemea dharau na viburi vitazidi mara 100 kwa mme wake.
Mwanaume unaweza ukawa umetoka kufanya uzinzi huko nje, na ukija ndani unampa na mkeo vizuri tuu. Ila mwanamke akitoka kupata mechi huko nje akirudi ndani mwanaume hesabu maumivu tuu..
Umepiga penyeweMtoa mada amekuwa mume wa watu wangapi?
[emoji1787][emoji2][emoji2] daah nimecheka tena wanaume wa zamani ... we umejuaje moyo wa mtu kichaka mkuuBaba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace[emoji120]
Kama mama yangu ana declare hakuwahi kupata shida kwenye ndoa yake basi naamini hilo...my dad was a Saint...hata mkibisha lkn mimi naamini hilo na nitaendelea kuamini hilo.[emoji1787][emoji2][emoji2] daah nimecheka tena wanaume wa zamani ... we umejuaje moyo wa mtu kichaka mkuu
Usianiambie mda wote ulikuwa nae kama mwili wake