Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace🙏

Unachekesha Watu wewe😀😀

Sio kila kitu mpaka uambiwe Mkuu.

Tofauti ya kizazi kilichopita ni uwezo wa kutunza Siri watoto wasijue.

Ninyi wanawake WA siku hizi ukikuta tuu meseji isiyoeleweka Kwa mumeo mpaka watoto watajua.
Lakini ni ngumu mwanaume hata Kama mkewe anachepuka ni kuropoka mbele ya watoto. Sio ajabu watoto wanawaona Mama zao ni wasafi lakini kimsingi wapo wamama ni Malaya waliopindukia.

Kuweni Kama Wazazi wenu. Walifunga mdomo watoto wasijue. Ili kulinda heshima ya Wazazi.

Si unaona hapa unavyomuona Baba yako alikuwa shujaa😀😀 kisa haukupewa Backside yake.
 
Kuna kitu tunakosea, watu kuonana sio kwamba Wana uzuri kuliko wengine au Mme hataona wanawake warembo kuliko mkewe kama ambavyo Mke atavutiwa na wanaume wengine ambao sio Mme wake, hiyo haiepukiki.

Zingatia kuwa Kitu pekee kinachoweza kushikilia ndoa ni UPENDO na sio zaidi ya hapo.
 
Zingatia kuwa Kitu pekee kinachoweza kushikilia ndoa ni UPENDO na sio zaidi ya hapo.

Sio Mara zote, kama ambavyo na wewe umeandika Kuna watu wameoana bila upendo, inamaana zipo ndoa zisizo na upendo. Lakini sio Kila upendo huzaa ndoa.
 
Sio Mara zote, kama ambavyo na wewe umeandika Kuna watu wameoana bila upendo, inamaana zipo ndoa zisizo na upendo. Lakini sio Kila upendo huzaa ndoa.

Hapa tunazungumzia 90% Mkuu. Mwanaume hawezi kuishi na Mwanamke asiyempenda MKUU.
 
Hapa tunazungumzia 90% Mkuu.
Mwanaume hawezi kuishi na Mwanamke asiyempenda MKUU.

Mwanaume linapokuja suala la michepuko, anacholinda Kwa mkewe sio upendo, ni HESHIMA. Tusichanganye hivyo vitu viwili japo vinahusiana. Asilimia 90 Kwa utafiti upi na wanaume wa wapi?
 
Mwanaume linapokuja suala la michepuko, anacholinda Kwa mkewe sio upendo, ni HESHIMA. Tusichanganye hivyo vitu viwili japo vinahusiana. Asilimia 90 Kwa utafiti upi na wanaume wa wapi?

Mkuu upendo ndio unaleta Heshima sijui kama unaelewa unachokisema.

Mwanaume upendo ukiisha wote Kwa Mkewe haoni shida kumuonyeshea Live MICHEPUKO yake.
Vipo visa vya namna hiyo.
Halikadhalika na Mwanamke, ukiona anakuheshimu au anakutii Sana ujue bado roho ya Upendo IPO ndani mwake.
Aidha anakupenda au anapenda pesa au Mali zako.

Hakuna heshima Kwa mtu Kama humpendi.
Na Kama humpendi mtu alafu unaona unamheshimu basi jua kuwa hiyo sio Heshima Bali UOGA. Yaani unamuogopa/unaogopa
 
Utamfanyia vimbwanga vya michepuko na kumsaliti mtu unaempenda?

Tena hapa niende mbali zaidi, heshima nnaiongelea hapa ni Ile mtu anatunza heshima yake Kwa jamii kwamba itamwelewa vipi, sio ya Mme au Mke wake.
 
Hapa tunazungumzia 90% Mkuu.
Mwanaume hawezi kuishi na Mwanamke asiyempenda MKUU.

Hiyo Asilimia 90% ninamaanisha wanaume karibu wote.wanaoa wanawake Kwa sababu wanawapenda.

Ni wanaume wachache wanaooa wanawake Kwa sababu kama Mali/pesa au sifa ambazo ni nje ya Upendo.

Wanawake wanaolewa wengi Kwa sababu nyingi nje ya Upendo,
1. Unafuu wa Maisha
2. Pesa au Mali
3. Umaarufu wa mtu husika n.k.
 
Utamfanyia vimbwanga vya michepuko na kumsaliti mtu unaempenda?

Tena hapa niende mbali zaidi, heshima nnaiongelea hapa ni Ile mtu anatunza heshima yake Kwa jamii kwamba itamwelewa vipi, sio ya Mme au Mke wake.

Mwanaume anaweza kuwa anakupenda 100% na bado akachepuka.
Kiasili mwanaume ni Polygamist Hilo weka kichwani. Hivyo MICHEPUKO ipo Kama mbadala ya Kuoa wake wengi.

Vimbwanga mwanaume atavifanya endapo upendo Kwa mkewe umeisha.

Mwanaume ukiona hamuachi mkewe ujue anampenda wala usije ukadanganywa kuwa ati analinda sijui heshima yake ndani ya jamii.

Kwa tangu lini Talaka ikawa ni kujishushia heshima, talaka ipo kisheria na Kidini. Sio Jambo la aibu Kama unavyoli-address hapa.

Ukiona Mtu hamuachi mkewe ujue bado anampenda, weka akili hiyo.

Sababu zingine labda siku mgawanyo WA Mali n.k. hasa Kwa watu masikini
 
Shida ni pale unapotaka mtizamo wako uwe ndio uhalisia Kwa watu wote, haiko hivyo. Kumbuka nasisi ni wanaume tunaishia kwenye jamii hii hii.

Na wewe weka kii kichwani na akilini, sio Kila waliobaki kwenye ndoa wanapendana. Kuna vitu kadhaa vimeshikilia ndoa nje ya upendo ambao ulishafariki kitambo. Nashangaa unapoongelea wepesi wa talaka hasa ikija Kwa ndoa za kikristo, sio jambo jepesi kama unavyoliongelea hapa.
 
Wanaume mme umbiwa tamaa kwel lakn kunamda mnatukosea Sana wake zenu kwel kunamda tunasahau majukum yetu Kama wake lakn kunamda mtu unaamua tu kuacha sio kwamba kujisahau ila mtu unaamua tuu kuacha

Unampenda mkeo kuliko mchepuko ila unamuhudumia mchepuko kuliko mkeo
Kunamwanaume apa anakwambia me mke wangu nampenda tuu kwakua anajua kulea familia ila ukwal sio hadhi yangu
Na ukimuona mke wake kapauka kakosa nuru yaan haeleweki ila anakwambia siwez kumuacha napenda anavyonilelea watoto ila sio hadhi yangu

Ichi kitu kinaumuza mno unampendezesha mchepuko na kumjali out Kama zote af mkeo hujui ata Mara yamwisho kumnunulia chupi,brazia,pedi na mafuta Ni lini au ata kumpa ela ya mahitaj ni lini

Mwanamke kachakaa Kama kitu gani we ukitoa ela ya Kodi na chakula tayari unaona umetimiza majukumu yako kwake
Jaman badiliken
Kama kwel unampenda mkeo bc jaribu kumuhudumia mwanaume ata ela ya kusuka anaipata kwa mbinde Sana
Af unakaa unaongopea watu et nampenda mke wang kuliko mchepuko acheni unafiki

Unamuumiza unaempenda kwa kumhendo usie mpenda achenu izo

Af unasema et wanawake wanagubu wanajisahau nani anaweza kujitolea namna iyo

Hatukatai chepuken lakin msiwasahau na wake zanu michepuko inajituma sababu inahudumiwa ipasavyo Kama huamin oa uo mchepuko af ndani ya mwaka 1 unaona kipi namaanisha

Pia Kama unaona mapenz yameisha kwa mkeo na hutaki kumuacha mpe Uhuru bc nae atafute mchepuko uko aturize moyo

Acheni kuwa wabinafsi yaan ww mke akikosea unakimbilia mchepuko ila yy akikosea atulie na maumivu yake akichepuka bc mwanamke kahaba mwanamke Malaya yako ndio mema ya mazuri

Nawaombeni tuu watumzeni wakezenu

Michepuko isifanye ukamsahau mkeo jaman maan ata uyo mchepuko ungemuweka ndan bado kunavitu mngevukosa

Nanyinyi wanawake simama kama mke muheshim na kumtii mmeo Kama anasimama vyema kunye nafasi yake ya ubaba acheni gubu achen dharau msisikilize maneno ya watu punguzeni marafiki na mridike na vipato vya waume zenu

Kama unaona umemfanyia mwanaume yote hayo bado anakudharau na kuchepuka wazi wazi achana nae sepa zako maswala ya kusema tunakaa kwa ajili ya watoto acheni izo Kama wanauwezo wa kujitegemea waache na baba yao atalea na hao anaochepuka nao

Ata mungu amesema Linda Sana moyo wako kuliko chochote

Utakuja kufa bite kuendekeza ndoa zenye mateso
 
Wanaume mme umbiwa tamaa kwel lakn kunamda mnatukosea Sana wake zenu kwel kunamda tunasahau majukum yetu Kama wake lakn kunamda mtu unaamua tu kuacha sio kwamba kujisahau ila mtu unaamua tuu kuacha
"..Michepuko inajituma sababu inahudumiwa ipasavyo.." -- Hii statement haipo sawa

"..Michepuko inahudumiwa sababu inajituma ipasavyo.."--Hii ndio sahihi

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli....

Ukweli ni kwamba wanaume huwa tunatumia ubongo zaidi kuliko moyo..

Wanawake wanafuata mioyo zaidi kuliko bongo zao...

Mwanaume anaweza kuupenda mchepuko mara 100 zaidi ya mke wake, ila kamwe hatokubali huo mchepuko uharibu ndoa yake au ulete sintofahamu yoyote ile kwa mke wake, na heshima kwa mke inabaki palepale..

Wakati huohuo, mwanamke akipagawishwa vizuri huko nje, basi tegemea dharau na viburi vitazidi mara 100 kwa mme wake.

Mwanaume unaweza ukawa umetoka kufanya uzinzi huko nje, na ukija ndani unampa na mkeo vizuri tuu. Ila mwanamke akitoka kupata mechi huko nje akirudi ndani mwanaume hesabu maumivu tuu..
Ukweli usiopingika .....
 
Mchepuko ni dustbin la kutupia excess uchafu na sio lifeplan partners, hata wao wanajua thus nao wanajua mme wa mtu ni ATM inayotembea bahati haiji mara mbili kabla ujamaliza nyege awe ametimiza mambo yake
 
Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace[emoji120]
[emoji1787][emoji2][emoji2] daah nimecheka tena wanaume wa zamani ... we umejuaje moyo wa mtu kichaka mkuu

Usianiambie mda wote ulikuwa nae kama mwili wake
 
[emoji1787][emoji2][emoji2] daah nimecheka tena wanaume wa zamani ... we umejuaje moyo wa mtu kichaka mkuu

Usianiambie mda wote ulikuwa nae kama mwili wake
Kama mama yangu ana declare hakuwahi kupata shida kwenye ndoa yake basi naamini hilo...my dad was a Saint...hata mkibisha lkn mimi naamini hilo na nitaendelea kuamini hilo.
Wewe cheka tu😅
 
Back
Top Bottom