Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace🙏
Unachekesha Watu wewe😀😀
Sio kila kitu mpaka uambiwe Mkuu.
Tofauti ya kizazi kilichopita ni uwezo wa kutunza Siri watoto wasijue.
Ninyi wanawake WA siku hizi ukikuta tuu meseji isiyoeleweka Kwa mumeo mpaka watoto watajua.
Lakini ni ngumu mwanaume hata Kama mkewe anachepuka ni kuropoka mbele ya watoto. Sio ajabu watoto wanawaona Mama zao ni wasafi lakini kimsingi wapo wamama ni Malaya waliopindukia.
Kuweni Kama Wazazi wenu. Walifunga mdomo watoto wasijue. Ili kulinda heshima ya Wazazi.
Si unaona hapa unavyomuona Baba yako alikuwa shujaa😀😀 kisa haukupewa Backside yake.