Ni yeye tu huyo anapenda sana nikifura na kuporomosha matusi... Sijui matusi himfanay nini haswaWatu mmeshindwa kumuami kabisa π
Ulikataa kuna uzi walikuuliza kwani huyu nani anayetukana? Ukajibu simjui πΉπΉNiliikataa lini na wapi? Mimi siwezagi kuact kabisa ndo maana walizidaka ili nibaki kuwa na ID moja
π π π π π NimechekaUlikataa kuna uzi walikuuliza kwani huyu nani anayetukana? Ukajibu simjui πΉπΉ
Wewe kama Petro umeikana Elevenn mara tatu kabla jogoo hajawika..!! Mtsiewwww πΉ
Em tukana kwanza, nataka nikuitie payge hapa na wenzie wakusaidie kubeba mitusi yako..!! πΉπΉNi yeye tu huyo anapenda sana nikifura na kuporomosha matusi... Sijui matusi himfanay nini haswa
Lamomy watch that smelly mouth,, nitakufanya kitu kibayaaa sana..Wewe umejichafua mwenyewe πΉπΉ
Sasa unampandishia nani kibesi? Ntakutandika mikwaju oohh..!!
Genuine gani ina parody πΉ
Huyo kanjanja mi nakwambia πΉπΉπ π π π π Nimecheka
Nimekumbuka Petro alivyokana π π
Hahahaha.Em tukana kwanza, nataka nikuitie payge hapa na wenzie wakusaidie kubeba mitusi yako..!! πΉπΉ
Wewe nawe kumbe ni wale wale, unapenda drama sioπ inachochea kiwake.. ShenjiiKwani ulifanya nini huaminiki?
Mbona mimi nakuamini sana π
Washa moto washa moto kijiwe kilipuke weekend hii πΉπΉLamomy watch that smelly mouth,, nitakufanya kitu kibayaaa sana..
Jiat because tulipenda matani, haimaanishi kuwa Nime badilika na kuwa mtakatifu.. Don't cross that boader utalala vibaya nakwambia.
Naona umenimiss jinsi nilivyo kuwa zamani
Kwa hiyo hapa anatumia mwanandani π π πWasha moto washa moto kijiwe kilipuke weekend hii πΉπΉ
Biti wapige wanaokuogopa mimi hapa hunitishii nyau hiyo weka akilini..!!
Viatu utalala navyo wewe, kwanza ushaoga? πΉ
Halafu wewe hujachange ila Una act tabia sio zako.. em onyesha tabia zako halisi..!!
Shetani shindwaaWasha moto washa moto kijiwe kilipuke weekend hii πΉπΉ
Biti wapige wanaokuogopa mimi hapa hunitishii nyau hiyo weka akilini..!!
Viatu utalala navyo wewe, kwanza ushaoga? πΉ
Halafu wewe hujachange ila Una act tabia sio zako.. em onyesha tabia zako halisi..!!
Kumbe unaogopa πΉπΉHahahaha.
. Tuendelee na matani ila sasa usigusie mambo ya ban, I don't wanna go back there
πΉπΉπΉ Si ndioKwa hiyo hapa anatumia mwanandani π π π
Unajifanyaga mtakatifu kumbe roho ya jini kabulaUnajua kabisa mimi nakuamini sana π
πΉπΉπΉ Haya kalale kesho uwahi coco kupunga upepo..!! Chondechonde usije kunanii ufukweni..!!Shetani shindwaa
Siwezi kuprove, I know God saved me from a wicked spirit.
Unajua kabisa nikikiwasha patachafuka humu sinaga haya wakati wa kushusha vyuma.. Ni baada ya ban ndo nikajua upuuzi wa matusi haunifanyi nionekane mjanja bali nakuwa na sifa mbayaKumbe unaogopa πΉπΉ
Ujanja wote unaogopa ban πΉ
Nywanokwebe..πΉπΉπΉ Haya kalale kesho uwahi coco kupunga upepo..!! Chondechonde usije kunanii ufukweni..!!