Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Hivi nini wanawake mbona masharti mengi sawa mkiachana na kudekezwa ninyi mnaoffer kitu gani zaidi kwa mwanaume ukiachana na nyuchi
 
Daah nimecheka sana eti wanajifanya makamanda wa jeshi za nyuma geuka mbele tembea..
 
Watu wa vijijini wakishapata vijicent ni mwendo kama ulivyosema upo sahihi mkuu big up wape darasa wahuni wao wanaona home ni sehemu ya Hormuz kama Iran vs USA au Israel kumbe ndio sehemu mtu anatakiwa awe na furaha kwa muda mrefu ila sema na ninyi mpunguze kero zisizo na kichwa wala miguu wahuni wa enjoy life..
 
Mtu anakunja ndita nyingi sana 😜 anatafuta kuheshimiwa kwa Nguvu.
Mimi nilifundishwa na mzee wangu nikiwa chalii sema nilikua simuelewi ila sasa nameless unatakiwa utengeneze furaha nyumbani kwa gharama yeyote...watoto wakuone kama Baba na rafiki na mke pia sio ukifika watu wanaondoka sitting room Baba karudi hiyo hapana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…