Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Asante kwa kuliona hilo ๐Ÿ˜œ
Ukatili unasabishwa na Ubinafsi au ukosefu wa pesa
Watu wamefundishwa mke sio ndugu unamkuta ana hela kidogo tu hata b hazifiki aisee ni ubinfasi kwa kwenda mbele na kumchukia mke wake wengine wakiwa na 200m tu ni balaa ataongeza wake ili kumnyanyasa mke wake ni kukosa maadili ya maisha na kuzishobokea pesa..
Sio mke tu unamkuta muhuni ana uhakika kidogo tu hata kwa ndugu na jamaa zake anataka wamlambe miguu life ya bongo sihami aisee..
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ