Hamna kituUnajaribu kusema nini?
Soon tu dearMapishi
Nimemiss mapishi jamani π
ni yaleyale tu ya mtendaji kumnyonga mkeweβ¦Hata kwenye kudeka?
Asante MC πΉHiyo nipe mapenzi imesound kikuryaπππ
Mkufunzi kutoka SUA idara ya tabia za wanyama karibu mheshimiwaππππ Lamomy
Mkuu upo kwenye ndoa mwaka wa ngapi huu?Soma vizuri
Hakuna kuwaogopa hapo pesa lazima iwepo, mideko iwe na cousin wake PESA pembeni πΉπΉπ π π
Wangenimaliza mapampula π
πΉπΉπΉ Nguvu za kudekeana bila pesa zinatoka wapi kwa mfano?Tunazunguka tu ila pesa ndo inamfanya mtu adeke π π
Kumdekea mtu asiyekua na hela ni kujichosha tu π
πΉπΉπΉ Wana makasiriko muda wote km wamelamba bitter orangeHivi umeishawai ona uso wa mwanaume asie na Hela? π π π
πΉπΉπΉ Ewaaahh..!!π π π
Hapa mideko Huwa inaenda hatari π.
Maana kudeka huku mkiwa na njaa hainogi hata