Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Umekumbuka JF ya 2023 na ban zetu selfika 😹😹

Tulikuwa tunachekeshana mpaka machozi, mimi mbwa mpaka wakawa wanabweka wanajua kuna shida..!! 😹

Nothing serious tunachangamsha kijiwe usimind mdogo wangu mzuri realMamy okay babes?
Mimi ndo napenda 😜 usijali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani ilikuwa raha utani wa kutosha unalala unasmile kabisa
Nilicheka ile siku ms eyes kapost pic yake halafu akamwambia Dr hyperkid afute comment yenye picha akamjibu β€œsifuti kwani mimi ndio nimeweka picha?” 😹😹

Watu wote tukaanza kumsema futa, futa akakaza hajafuta mpaka tukaripoti comment..!! 😹

Alikuwa ananiita mwanae nilivyopost picha akaview akaniambia β€œBinti yangu unaweza kuja pm nna maagizo kutoka kwa mama yako.) 😹😹😹

Ile siku nilicheka mpaka machoziiiiii
 
Weeh bana sikuamini kabisaa 😹😹
I’d zingeungwa ungetuambia Elevenn pia pisi kali..!!
Si kama unaona ni yangu kasome nyuzi zake hukoo. Mnatafuta kila namna ya kuni chafua ila bado jf wananikubali becoz am genuine sio nyie wapenda drama
 
I’d ya Elevenn uliikataa mpaka mods walivyoiunga 😹😹
Niliikataa lini na wapi? Mimi siwezagi kuact kabisa ndo maana walizidaka ili nibaki kuwa na ID moja
 
Si kama unaona ni yangu kasome nyuzi zake hukoo. Mnatafuta kila namna ya kuni chafua ila bado jf wananikubali becoz am genuine sio nyie wapenda drama
Wewe umejichafua mwenyewe 😹😹
Sasa unampandishia nani kibesi? Ntakutandika mikwaju oohh..!!

Genuine gani ina parody 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…