Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

lakini si inakua kama hisani tu right?

yaani kama vile tu unavyoweza kutoa hela ya kununua kitu unachokipenda, right?

gharama ikikushinda au kama huilewi kulingana na aina ya bidhaa unatembea mbele mwendo wa ngiri..🐒
We unaleta ngojera kwenye vitu serious?
Du
 
Wadanganye upendeze wengine wapite Bure tushaacha hizo pigo now 50/50
 
Hivi unajua kuna upendo na tamaa?
Mwanaume huukinai uchi wa mwanamke ndani ya miezi mitatu tu.
Kinachomfanya Mwanaume kuendelea na huyo Mwanamke ni tabia zake tu. Jifanye unajua sana kuomba omba vitu, hela ndio ukajua kwamba eti unapendwa? Nakupa code hiyooo.
Miezi mitatu tu Uchi wa Mwanamke unakuwa umeshamkinai Mwanaume
 
Wadanganye upendeze wengine wapite Bure tushaacha hizo pigo now 50/50
Kizazi cha 2000 wabishi sana mtabaki milia ivyo ivyo
 
Watu wanaomba hela na bado wako na wanaume zao, kwanini vitoto vya 2000 mnapenda kukwepa majukumu yenu lkn.
 
🤣🤣🤣
Huwa haulewi na haunielewi halafu usinivunjie heshima how come niwe mtoto wa 2000 wakati humu JF nipo tangu mwaka 2010?
 
Nikipata Mwanamke sahihi nitampa hela kama nitakuwa nayo, Halafu sijui kama unalenga kuwasaidia vijana au kuwatia stress tu. Kwanza elewa upendo ni kitu cha asili sio ni kitu kinachochochewa na material things, Kama unadhani kupewa pesa na Mpenzi wako ndio kuonyesha anakupenda hapo unajidanganya. Kila kitu huja na kuondoka.
Pesa ipo kwenye mzunguko leo kwa huyu kesho kwa yule na kama akili yako imejengwa na kuaminini kwamba bila kupewa pesa bado haujapendwa 🤣🤣🤣
Hiyo sio sawa kabisa huyo Mwanaume anayekuhudumia kwa pesa siku akiwa hana utasema kwa sababu hajakupa pesa hakupendi???
Change your mind aisee, kama unapewa pesa sio kwamba unapendwa sana.
Tunda la roho ni
Upendo
Amani
Uvumilivu
Utu wema
Fadhiri.
Hapo pesa haipo. Usiwatie watu depression humu kama unahudumiwa kwa pesa na wewe ndio unajiona unapendwa ni sawa tu.
 
Kudate na demu maskini&omba omba ni uzwazwa.
Unless awe so exceptional.
Awe na kitu cha ziada cha kuni offer out of uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…