Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

Je kama mwanaume anazo za kutosha, akijifikisha mwenyewe tu hutapeleka mbususu kwingine?
Utavumiliwa kwa muda....ila isiwe ndio pigozako.
Mfano: Umefukuzwa kazi...naelewa kbs hutakuwa kwenye tune zako kwa kipindi kwa hiyo ntakuvumilia.
Sio ufuge kitambi na bia zikulegeze utegemee kuvumiliwa
 
Urefu au ufupi haujalishi, issue ni unanimaseji kivipi.
Hata bila kuingiza ukiweza kusoma hisia unajua nizidishe wapi nipunguze wapi.
Nan anataka kuumizwa na mikono ya watoto?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kimbe hampendi mitulinga eeh. Haya wacha nikajifunze jinsi ya kutumia kibamia changu
 
Wanachokosea wanaume ni kudhani kwa kumkomoa mwanamke ndio best performance.....uongo huo.
 
Hapo ndipo wanawake wanakosea wanategemea tutabiri hisia zao badala ya kusema nini wanachotaka sisi sio Malaika.
Haiwezekan nilale na wewe mara ya nne hujanisoma!!!!
Day 1, 2, 3 zatosha kukufanya unijue.Kwan ndan ya hizo siku ntakuwa nakuelekeza bila kukufedhehesha....
Day 4 najua hili gharasa hamna linachoelewa ni miguvu tu
 
Utavumiliwa kwa muda....ila isiwe ndio pigozako.
Mfano: Umefukuzwa kazi...naelewa kbs hutakuwa kwenye tune zako kwa kipindi kwa hiyo ntakuvumilia.
Sio ufuge kitambi na bia zikulegeze utegemee kuvumiliwa
Nahisi hukuelewa swali..
Niliuliza, kama Me anamudu kukuhudumia mahitaji yako, lakini hana muda wa kukufikisha, je utaridhika au ndo utapeleka mbususu ikakanyagwe huko?
 
Haiwezekan nilale na wewe mara ya nne hujanisoma!!!!
Day 1, 2, 3 zatosha kukufanya unijue.Kwan ndan ya hizo siku ntakuwa nakuelekeza bila kukufedhehesha....
Day 4 najua hili gharasa hamna linachoelewa ni miguvu tu
hamsemi mnapiga kelele tu kutetetemeka kama magenereta 😂
 
Nahisi hukuelewa swali..
Niliuliza, kama Me anamudu kukuhudumia mahitaji yako, lakini hana muda wa kukufikisha, je utaridhika au ndo utapeleka mbususu ikakanyagwe huko?
Utavumiliwa kwa miezi sita, kama unaumwa au kuna janga seriously lilikukuta ntakuelewa.
Ila ikiwa ni uvivu wa kitambi au uchovu wa bia za jioni utanisamehe
 
Back
Top Bottom