Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Hii mada utasababisha matahira ya kiyaudi kuwaporomoshea wenzao matusi ya nguoni
 
Una hoja sana jinsi ulivyo harafu noma sana🙂
 
🙌🏼
 
Hili ni jambo binafsi, kama kuna mtu anaenjoy wake watano, kuna mwingine anaenjoy kuishi bila mke.

Kwa hiyo ni namna tu ya kila mtu anavyoamua kuishi.
 
Baba zao wako mimi niwahudumie? Nyinyi wengine hamjaoa sema mmeadopt watoto yatima ili muwakojolee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…