wake zenu maskini wa vicoba na marejesho si ndo hao wanagongwa kwa 30,000. wapate marejeshoMkuu nyie matajiri si mnaongoza kujinyonga na kuchapiwa?
Na wengine mmekimbia Nyumba zenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wake zenu maskini wa vicoba na marejesho si ndo hao wanagongwa kwa 30,000. wapate marejeshoMkuu nyie matajiri si mnaongoza kujinyonga na kuchapiwa?
Na wengine mmekimbia Nyumba zenu?
Hiki ni chama cha mabahiri na Waganga njaa.Karibu katika chama Cha kataa ndoa, chama chenye kupambania na kulinda haki na mali za mwanaume
Hii mada utasababisha matahira ya kiyaudi kuwaporomoshea wenzao matusi ya nguoniTena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Sasa anayegongwa akiwa maskini na anaygongwa akiwa na utajiri nani mwenye akili?wake zenu maskini wa vicoba na marejesho si ndo hao wanagongwa kwa 30,000. wapate marejesho
HahahaHii mada utasababisha matahira ya kiyaudi kuwaporomoshea wenzao matusi ya nguoni
Mkuu mbona una hasira sana. Nyie wenye wake wanaowatesa mna visrani sana. Mada ya JF ndio unatukana watu hovyo?Another Crack head 🚮🚮
Waganga njaa na MabahiriKATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
Una hoja sana jinsi ulivyo harafu noma sana🙂Karibu katika chama Cha kataa ndoa, chama chenye kupambania na kulinda haki na mali za mwanaume.
raisi wa chama chetu ni Liverpool VPN, katibu mwenezi ni Mimi Intelligent businessman, mwanasheria wa chama ni Xi Jinping, makamu mwenyekiti ni Natafuta Ajira.
Baraza la chama min -me, Loading failed.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3235696
🙌🏼Tena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Hili ni jambo binafsi, kama kuna mtu anaenjoy wake watano, kuna mwingine anaenjoy kuishi bila mke.Tena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Huyo anaye enjoy bila Mke anaumwa.Hili ni jambo binafsi, kama kuna mtu anaenjoy wake watano, kuna mwingine anaenjoy kuishi bila mke.
Kwa hiyo ni namna tu ya kila mtu anavyoamua kuishi.
🤣🤣🤣🤣hii inahusiana?Ndo maana tunaogopa kustaafu ndani ya chamaView attachment 3235700
Kwani mke ni chakula kwamba asipokipata ataugua utapiamlo?Huyo anaye enjoy bila Mke anaumwa.
Akapimwe akili
Samahani ndugu huu uzi haukufai hujalazimishwaDude are you on Crack or something? Who TF told you so??? What D'You know about me??
Unanipangia???Samahani ndugu huu uzi haukufai hujalazimishwa