Kuna dogo mmoja anaitwa Alexido jz instagram, naye huwa anakaa mbele. Yaani BICHWA KOMWE - nyuma yeye mbele, inauma sana.
Pole sana. Siku nyingine ukienda kwenye matukio kama hayo usisahau kuvaa boksa mbili, boksa Moja haitoshi, maana inaweza ikafyatuliwa na dushelele, mkuu.Dah... one day nipo kwenye bufee ya chakula niko mbele nyuma kuna mdada sasa kanisogelea zero distance.... kidogo tu nisimamishe...
hapana vijana wa zamani hisia zao zilikuwa mbali hata akikaa nyuma ya makebo hadindishi lakn wa saiv kitendo cha kuona makebo tu minala ishanza kusoma hivyo wanawake kwa kuliona hilio wameamua kukaa nyuma kuepusha shariSiyo kwamba vijana wa kiume wa siku hizi ni mapapai, na kwamba hawana tofauti na wanawake?
Chuchu saasita.Dah... one day nipo kwenye bufee ya chakula niko mbele nyuma kuna mdada sasa kanisogelea zero distance.... kidogo tu nisimamishe...
Hapana wewe Huwa unakaa mbele mi nakaa nyuma kukupasa shubamiti weweKuna dogo mmoja anaitwa Alexido jz instagram, naye huwa anakaa mbele. Yaani BICHWA KOMWE - nyuma yeye mbele, inauma sana.
Siri zako nazijua usijivunge ilihali we pia papai shubamitiSiyo kwamba vijana wa kiume wa siku hizi ni mapapai, na kwamba hawana tofauti na wanawake?
Hakika mkuu... nilijaribu kuweka mkono mfukoni isionekane lakini wapi... mtandao ukaongeza kasi ya 5G ikabidi niweke kawimbo kakiroho nikapata ahueni...Pole sana. Siku nyingine ukienda kwenye matukio kama hayo usisahau kuvaa boksa mbili, boksa Moja haitoshi, maana inaweza ikafyatuliwa na dushelele, mkuu.
Watu tujitahidi tufanye kazi kwa bidii.