Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hupendi kufanyiwa ukaguzi kama una shanga"zi"?Sipendi hizo mambo za mshikaki na mijanaume
Hupendi kufanyiwa ukaguzi kama una shanga"zi"?Sipendi hizo mambo za mshikaki na mijanaume
Hapana sipandi mshikaki naongeza hela nikae mwenyeweHupendi kufanyiwa ukaguzi kama una shanga"zi"?
Sitaki kukaliwa kwenye makeboKwa nini bro.
Ule ni ulinzi shirikishi.No harm,no jam at all!Sitaki kukaliwa kwenye makebo
Nenda sasa uone, kama una huo uwezoMimi ndo nitawainamisha kuwakagua puru, nijue kama huwa wanabanduliwa.
Kama una huo uwezo
Kwani wewe ukikaa nyuma unaanguka bwashee?Siwezi mgusanisha mke wangu na mwendesha bodaboda labda awe amepanda peke yake lakini sio na Mimi nikiwepo !!!