Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

hapana vijana wa zamani hisia zao zilikuwa mbali hata akikaa nyuma ya makebo hadindishi lakn wa saiv kitendo cha kuona makebo tu minala ishanza kusoma hivyo wanawake kwa kuliona hilio wameamua kukaa nyuma kuepusha shari
Baadhi ya wanaume wa siku hizi, hasa hawa vijana wanakula chipsi, wana makalio makubwa kushinda dada zao, mfano mzuri ni huyu dogo Alexido jz instagram, a.k.a mkalia misumari
 
Hakika mkuu... nilijaribu kuweka mkono mfukoni isionekane lakini wapi... mtandao ukaongeza kasi ya 5G ikabidi niweke kawimbo kakiroho nikapata ahueni...
Inauma sana, na inafedhehesha pia.
 
Wanawake huu mwezi walikuwa wanalalamika sana mtandaoni wanakojolewa na wanaume hasa mbagala wakaweka kikao hakuna kukaa mbele ndio hvyo Sasa😂😂
🤣😂
 
Siwezi mgusanisha mke wangu na mwendesha bodaboda labda awe amepanda peke yake lakini sio na Mimi nikiwepo !!!
 
Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke.

Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu?

Monetary doctor.
Watakuwa wanaogopa kuanguka.Bure kabisa.Mwanaume lazima ukae nyuma kuchunga mzigo na kulinda mali.
 
Hy Sijawah kuona na ikinitokea siwez kukaa hapo, lazima mwanamke atangulie kisha mm
 
Hizo ni boda biashara sio mke na mme, sasa hata wewe ukiona mke wako kawekwa kati unaweza kupata hasira, ndio maana kuna jamii zingine mme anamruhusu mke kupanda boda lakini akae upande.

Ni heshima kwa mwanamke lkn wivu kwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom