Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

hakuna kinachoendelea zaidi hao siyo wapenzi na mwanamke analinda heshima yake tu asije leta mjtafaruku kwa mpenzi wake mana kiuhalisia huwa wanaume tunakawivu tukiona mtu anabambia mali zetu kiurahisi rahisi sema basi tu.
 
Wanawake huu mwezi walikuwa wanalalamika sana mtandaoni wanakojolewa na wanaume hasa mbagala wakaweka kikao hakuna kukaa mbele ndio hvyo SasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna kinachoendelea zaidi hao siyo wapenzi na mwanamke analinda heshima yake tu asije leta mjtafaruku kwa mpenzi wake mana kiuhalisia huwa wanaume tunakawivu tukiona mtu anabambia mali zetu kiurahisi rahisi sema basi tu.
Baadhi ya pikipik zmebinuka ,mwanamke akikaa lazima abinuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…