Baadhi ya wanaume wa siku hizi, hasa hawa vijana wanakula chipsi, wana makalio makubwa kushinda dada zao, mfano mzuri ni huyu dogo Alexido jz instagram, a.k.a mkalia misumarihapana vijana wa zamani hisia zao zilikuwa mbali hata akikaa nyuma ya makebo hadindishi lakn wa saiv kitendo cha kuona makebo tu minala ishanza kusoma hivyo wanawake kwa kuliona hilio wameamua kukaa nyuma kuepusha shari
Kipi Bora akae nyuma peke yake aanguke kwa kutereza au akae amshikilie bodaSiwezi mgusanisha mke wangu na mwendesha bodaboda labda awe amepanda peke yake lakini sio na Mimi nikiwepo !!!
Umesha anza kuchizi muda si mrefu uta okota makopo kama ndio hivi au una kichaa cha mimba? Shubamiti shoga wewe🤣Baadhi ya wanaume wa siku hizi, hasa hawa vijana wanakula chipsi, wana makalio makubwa kushinda dada zao, mfano mzuri ni huyu dogo Alexido jz instagram, a.k.a mkalia misumari
Kawainamie halafu uje utupe mrejeshoSiyo kwamba vijana wa kiume wa siku hizi ni mapapai, na kwamba hawana tofauti na wanawake?
Una hamu na konga dogo eti? Haya njoo pa siku zote , shubamitiiKaa hapa 🖕 uburudika kama kawaida yako.
labda ila wanwake wengi ni nyma ila wanaume pamoja na wembamba wetu huwa tuna uzito wa ndani kwa ndanjBaadhi ya pikipik zmebinuka ,mwanamke akikaa lazima abinuke
Watakuwa wanaogopa kuanguka.Bure kabisa.Mwanaume lazima ukae nyuma kuchunga mzigo na kulinda mali.Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke.
Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu?
Monetary doctor.