Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Huko sukumani bila kumcharaza makofi mara kwa mara anaona humpendi na humjali, Baada ya makofi utaona mapenzi yananoga na nyumba inakua na amani.
Hii naona imekaa zaidi kitamaduni,kwa maana utaratibu wa kurithishana,huenda kama mke hujampa mikofi na akisikia wenzake wanakula makofi anaona humpendi

Ni kama mademu wa mjini usipo mpa hela anaona humpendi
 
โ„Ž๐‘ข๐‘œ ๐‘ข๐‘ก๐‘Ž๐‘“๐‘–๐‘ก๐‘– ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚
Ishu sio mda expert,maana hata chanjo ya korona ilipatikana kwa mda mchache sana

Ishu ni fact hapa
 
Huyo anaeomba pesa ya birthday ndio mkeo
Nashangaa unasubiri nini kumpa kichefuchefu..

Sasa mtu hana kichefu chefu bado ni mwepesi unatarajia akuambie nitie mimba??
Jiongeze mkuu msipende kubargain sana na hawa dada zetu..
Yaani mimi nikikuta unamdate dada yangu wa damu miezi mitatu halafu hahisi kichefu chefu nakupasua live maana unampotezea muda..
Unapelekea awe anawaza usenge muda wote..
Mimba pekee ndio huwafanya hao watoto wadogo watulie huku wewe ukiwa unadhani kuwa amepevuka..
 
S ndio maana nimechukua singo maza
 
Ni kweli kabisa mwanaume unatakiwa usieleweke ila kuna baadhi yao wanasikitisha, hajui kabisa nini maana ya kuwa mwanaume.
Mwingine anajua akinunua mchele , samaki, nyama kwenye jokofu anajua, tayari muda akae na mkewe hakuna hajui mke alitoka kwao Kwa ajili yake, lakini utaona na midevu yake kinazunguka zunguka utazani kuku mgeni aliyepotea kwao akili hakuna, halafu mke akiongea anaoneka anamdomo, sasa huyo mke akipata wakumsikiliza atalaumiwa? Kuna wengine ni wanaume kwasasa wanaviungo vyakiume.
 
Bas ndo maana kuna braza mmoja mitaa yetu Ana miaka 48 demu wake Ana 33 jamaa ni muajiriwa wa serikali. Kila Baada ya miaka miwili demu wake anajazwa mimba sahv wana watoto watano wakufuatana hapo nakupata point yako
 
Wakuwapa mimba wapo wapi? Kuna mmojร  mke akimwambia mme vipi mbona hausomeki anaanza kupiga simu Kwa ndugu zake huyu mwanamke ananisumbua ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ, sasa atampa vipi mimba labda asaidiwe
 
Nakubaliana na wewe,nilitaka kwanza kumpa mfano Shanily

Mwanamke ukimpa mapenzi safi atakuona hufai atataka pesa,na kinyume chake

Ukiwa a nice guy utamboa atamtaka mhuni,na ukiwa mhuni atamtaka a nice guy

Ukimpenda sana ni kosa unakuwa dhaifu kwake unamboa na usimpompenda ni shida,yan list ni ndefu hapa

Itoshe kusema mwanamke hajui anataka nini hasa
 
Bas ndo maana kuna braza mmoja mitaa yetu Ana miaka 48 demu wake Ana 33 jamaa ni muajiriwa wa serikali. Kila Baada ya miaka miwili demu wake anajazwa mimba sahv wana watoto watano wakufuatana hapo nakupata point yako
Sasa si mpaka awe na uwezo wakumpa mimba, wengine muda wakukaa na mke hawana kazi kuzurura mke naye anachoka kusubilia kenge mmoja.
 
Sasa Hilo linahusianaje na kutokujua akitakacho!?. Alichotaka ni kwenda kuolewa na rafiki wa mabest baada ya yeye kupona kwa nguvu za mabest, unasemaje hajui akitakacho!?

Mnachanga tamaa , akili za kushikiwa na kujua mtu akitakacho.
Mtu asojua akitakacho ni mwendawazimu pekee, hata mtoto anajua akitakacho.

Mfano wako ni sawa na mwanaume, mkeo anakutimizia Kila hitaji lako, mtiifu, mnyenyekevu, umezaa nae, lakini Bado unachepuka, na hapa tuseme wanaume nao hawajui wakitakacho!?.
 
Ishu sio mda expert,maana hata chanjo ya korona ilipatikana kwa mda mchache sana

Ishu ni fact hapa
๐—™๐—ฎ๐—ฐ๐˜ ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐™ช๐™ฏ๐™ค๐™š๐™›๐™ช
 
Sasa si mpaka awe na uwezo wakumpa mimba, wengine muda wakukaa na mke hawana kazi kuzurura mke naye anachoka kusubilia kenge mmoja.
Wengine hawapendi watoto wengi mm naona huyu singo maza Wangu wa miaka 21 katulia, muda mwingi anawaza mtoto wake
 
Bas ndo maana kuna braza mmoja mitaa yetu Ana miaka 48 demu wake Ana 33 jamaa ni muajiriwa wa serikali. Kila Baada ya miaka miwili demu wake anajazwa mimba sahv wana watoto watano wakufuatana hapo nakupata point yako
Mwanamke ana kikwazo kimoja tu kinaitwa mtoto basi nje ya hapo hana kikwazo chochote kile so jikite hapo
Acha kupiga picha na hao wanawake aisee yaani mimi mwanamke akiingia kwenye circle yangu
Kwanza ni mimba then ndio majadiliano ya who, what and how yanafuata..
 
Umetelekeza watoto wangapi kaka kipato. Changu kidogo 30k per day mtoto ATAISHI vipi sina bima, wala pension
 
Hayo nadhan ni mazoea tu
 
Hata wanaume no hivyo hivyo pia, akiwa na mke mpole atataka mcharuko atachepuka.

Mke akiwa Hana kazi atatafuta kimada mfanyakazi.

Mke akiwa mpole atatafuta wakorofi nje huko.

Mke akimpenda atamuona boya na kuanza kumdharau, mifano ipo.
Mbona hamsemi hamjui mkitakacho!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ