Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Nafikiri boy huyu ni kwa ajili ya madesa na msaada wa assignments then yule mshkaji mwenye ndinga ndio sponsa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…