Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #221
Unachosema ni sahihi sema kitu kimoja uelewa wa MTU asipoamua kuthamini kile unachompa usidhani ni rahisi akatulia kwenye ndoa.Kuishi mke/mme ni taaluma kubwa asikwambie mtu, huende huyo mkuu hanaga muda wakukaa na mkewe akijaza vyakula ndani basi kamaliza sasa mchepuko unapata nafasi ya kum care mkewe ha ha ha!
Yaani hajafanya uzinzi apewe talaka?Pole Kwa changamoto unayopitia.Kuhusu hizo amri nafikiri ni za kanisa lenu hivyo usijumwishe mashirika yote ya kikristo,Kwa upande niliopo mtu ambae hajafanya Uzinzi ana haki ya kuamua kumtaliki mwenza wake au amsamehe na hii ni kulingana na maandiko kwamba uasherati/Uzinzi ndio msingi wa talaka
Ni kweli hili swala wanawake wanatakiwa wajue usaliti unagharama kuubwaPole sana ndoa inatakiwa kuvunjwa sabb wamethibitisha mke amekua akitoka nje ya ndoa sio kitu kirahisi kusema samehe muendelee kuishi
Padre wakati wa mafundisho ya ndoa aliniambia endapo utatoka nje ya ndoa yako na mumeo akajua na kupata uhakika nisiende kwake kutafuta suluhu sabb hana cha kumwambia huyo mwanaume anisamehe.Anasema amehudumu miaka 25 ila hajawahi kufanikiwa kurejesha ndoa ikawa imara ya mwanamke aliyetoka nje ya ndoa zaidi sana ukilazimisha wapatane baada ya siku chache utasikia mmoja wapo amekufa either kwa kuuliwa na mwenzie au kujiua
Ha ha ha we jamaa umewaza mbali saanaNarudia, never trust watu wa makanisani au msikitini. Mzinzi kamwe hawezi kutatua suala la ndoa, sana sana watakushawishi usimwache mkeo ili uishi naye na mwisho wa siku wampige miti wao kwa jina la dini.
Hapana mkuu, namaanisha ili mtu apewe talaka ni mpaka awe amefanya Uzinzi,lakini pia mtu anaweza akafanya Uzinzi halafu mwenza wake akamsamehe asimpe talaka,na endapo ameamua kumpa talaka basi watu wengine hawapaswi kumshinikiza asameheYaani hajafanya uzinzi apewe talaka?
Hats nnapo amino mm ni hivo sema wanashinikiza msamaha kwanzaHapana mkuu, namaanisha ili mtu apewe talaka ni mpaka awe amefanya Uzinzi,lakini pia mtu anaweza akafanya Uzinzi halafu mwenza wake akamsamehe asimpe talaka,na endapo ameamua kumpa talaka basi watu wengine hawapaswi kumshinikiza asamehe
Mkuu mimi sijaoa,ila nnachokushauri tafakari Sana Kwa maslahi ya watoto kama mnao pia kama Hilo kosa ni la kujirudiaHats nnapo amino mm ni hivo sema wanashinikiza msamaha kwanza
Malaya wote mkeo na wewe kazi kugawa dudu kaeni tu hadi mmoja azeeke asepe zake . Nyie mmezeeka ila mnataka raha za vijana tulieni ridhikeni na mlicho nacho acheni mashindano .Kwa tabia hii make wangu ni bora kuliko wewe.... Alafu wachaga atupo na attitudes ka zako
Hilo halijui kiti liache ni likahaba tu ndio kamfungua mke wake kamba yamguu.Mkuu mimi sijaoa,ila nnachokushauri tafakari Sana Kwa maslahi ya watoto kama mnao pia kama Hilo kosa ni la kujirudia
Ndivyo ilivyo halafu unaweza kuta nikitu kidogo tu kinachomfanya mtu achepuke na kutokuwa na hofu ya Mungu nayo inachangia sana kuharibu India.Unachosema ni sahihi sema kitu kimoja uelewa wa MTU asipoamua kuthamini kile unachompa usidhani ni rahisi akatulia kwenye ndoa.
Ndoa ni maelewano, mwenzako akiamua kukuelewa hata sh 100 ataona ni milioni
Kwani hiyo gharama ni kwa wanawake tuu?Ni kweli hili swala wanawake wanatakiwa wajue usaliti unagharama kuubwa
Lakini kabla ya kuwambia hivyo aliwambia Musa ni sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.YESU anakujibu hapa...,Yeye ndo final say
Mathayo 19:9
[9]Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Now I get, mkeo atakuwa anatoka mkoa mmojawapo wa kanda ya ziwa....huo mkoa una shida hasa kwenye uaminifu kwa upande wa wanawake.Adventist
Hawa watu ni wasanii mno. We angalia karibia mashoga walio wengi hapa nchini wanatokea Tanga na Zanzibar. Ukiwachunguza undani wao utakuta wengi walianza kuchezewa na walimu wao wa dini toka madrasat.Ha ha ha we jamaa umewaza mbali saana
Mwanamke akiwa na hofu ya Mungu ndoa haiwezi kuharibikaNdivyo ilivyo halafu unaweza kuta nikitu kidogo tu kinachomfanya mtu achepuke na kutokuwa na hofu ya Mungu nayo inachangia sana kuharibu India.
Wanatumia Din kuficha madhaifu yaoHawa watu ni wasanii mno. We angalia karibia mashoga walio wengi hapa nchini wanatokea Tanga na Zanzibar. Ukiwachunguza undani wao utakuta wengi walianza kuchezewa na walimu wao wa dini toka madrasat.
Kweli mke ni catalyst ambayo ukikosea tuu imekula kwako.Nimekuelewa mkuu kidogo umenifundisha nilitaka kuoa kwa kukurupuka kutokana na kupigiwa kelele na jamii kuwa mbona si oi wakati napiga kazi naingiza kipato, imefika hatua kelele zao zinaniumiza mpaka wameamua kunitenga yaani kuishi mikoani kuna tabu yake