Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnawafundisha wenyewe, mtu ananyenyekea mpaka anakuwa kama lodi-lofa unajua uvumilivu na wenyewe hufika mwisho.
Unaoa mwanamke aliyemtoa bikra hamfahamu unadhani atatulia kwenye ndoa huyo???
 
Binafsi sijawahi kuona mkiristo amemuacha mke talaka kwa sababu hiyo ya uzinzi..zaidi watalazimika kuendelea kuwa pamoja kwa kupretend huku wakiendelea kuzini. Na hiyo inasababishwa na viongozi wa dini yao wanaowaambia wasiachane. Pia ukiuliza hiyo talaka ni long term process. Ni kama hamna labda aende mahakamani tu.
 
HAPANA..
Soma vizuri!
Maana ya andiko hilo ni kuwa huwezi kuacha mke isipokuwa kwa sababu ya uzinzi/ uasherati.
Mke mzinzi ni ruksa kuachana naye.
Imagine umeoa mke kumbe mshirikina unafanyaje?.
Kuna aina nyingi za uovu watu ujificha nazo ili wapate ndoa na nyingi hazivumiliki.
 
Mimi sishikiwi akili kiasi hicho suala tu lakuleta dharau na huku akiwa na mchepuko ningeshamwacha pasipo shirikisha yeyote hata kama anaukoo na Yesu.
 
Kwa ulimwengu ulipofikia kwakweli uislamu upo sahihi
 
Pole sana
 
Biblia imesema usimuache isipokuwa uzinzi, ukishamuacha kwa sababu ya uzinzi kwa nini usioe? Hao wachungaji wanataka upige punyeto?
 
Heshima haiombwi inachukuriwa kwa nguvu
Inawezekana ww una cheo ama nafasi frani kanisani na unaona aibu kuwavunjia heshima viongozi wenzako wa kanisani
Ushauri ni mmoja tu tafuta heshima yako kwa nguvu na usikubari kuyumbishwa

Kanisani nenda na wambie tu waheshimu maamuzi yako
 
Nadhani Kanisa halina Mamlaka ya Kuvunja ndoa wala kulazimisha watu wasiachane.. Nenda Mahakamani, fasta tu!
 
Biblia imesema usimuache isipokuwa uzinzi, ukishamuacha kwa sababu ya uzinzi kwa nini usioe? Hao wachungaji wanataka upige punyeto?
malizia,imeandikwa kwa uzinzi utamuacha ila huruhusiwi kuoa wala kuolewa
 
DJ
Sasa Walete KATAA NDOA Toka Buzebazeba Kigoma
Na Kibao Safi Sana Leka Dutigite
 
malizia,imeandikwa kwa uzinzi utamuacha ila huruhusiwi kuoa wala kuolewa

Nina Amini kuna tafsiri ingine, otherwise ningeacha Ukristo, assume: mke kakukataa kaenda na mwanaume mwingine, utafanyaje?
 
Nina Amini kuna tafsiri ingine, otherwise ningeacha Ukristo, assume: mke kakukataa kaenda na mwanaume mwingine, utafanyaje?
Unatakiwa uendelee kumuombea akurudie,na kwakuwa bwana wetu Yesu hashindwi kitu atasikia maombi yako.Ila kumbuka maombi yanaweza kuchelewa kujibiwa kwakuwa huwa anajibu kwa wkt wake.
Muda huo mkeo anaishi na bwana mwingine yakupasa uendelee kuvumilia kutozini kwakuwa ukichukua mwanamke mwingine utakuwa unazini.
Hakuna ndoa ya pili kwa Mkristo isipokuwa pale tu inapothibitishwa mkeo ama mumeo kafariki.
 

Upuuzi huu, mtakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…