Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #261
Nicheki dm tumalizane plzNdio ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki dm tumalizane plzNdio ni wewe
Unaoa mwanamke aliyemtoa bikra hamfahamu unadhani atatulia kwenye ndoa huyo???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnawafundisha wenyewe, mtu ananyenyekea mpaka anakuwa kama lodi-lofa unajua uvumilivu na wenyewe hufika mwisho.
Tatizo kuoa mwanamke mpumbavu mkristo ndo shidaKuoa mwanamke mkristo ni kujitafutia stress
Binafsi sijawahi kuona mkiristo amemuacha mke talaka kwa sababu hiyo ya uzinzi..zaidi watalazimika kuendelea kuwa pamoja kwa kupretend huku wakiendelea kuzini. Na hiyo inasababishwa na viongozi wa dini yao wanaowaambia wasiachane. Pia ukiuliza hiyo talaka ni long term process. Ni kama hamna labda aende mahakamani tu.Kuna wakati dini imeeleweka vibaya sababu ya viongozi wa hovyo.
Yesu anasema usimuache mke kama hajafanya dhambi ya uzinzi. Mathayo 5:32.
Hakuna haja ya kupatanisha mke na mume kama mmoja wapo ni mzinzi na yule ambaye ni mwaminifu anataka kuachana naye.
Msamaha ni kanuni ya mbingu, ila nihatari zaidi kulazimisha mme mwaminifu Aishi na mke mzinzi, matokeo yake ni mabaya.
Imagine umeoa mke kumbe mshirikina unafanyaje?.HAPANA..
Soma vizuri!
Maana ya andiko hilo ni kuwa huwezi kuacha mke isipokuwa kwa sababu ya uzinzi/ uasherati.
Mke mzinzi ni ruksa kuachana naye.
Kwa ulimwengu ulipofikia kwakweli uislamu upo sahihiAisee...so sad...Allah akuongoze ktk dini inayoendana na maumbile ya mwanadam.
Diini ya uislam. Ktk Uislam kuna mambo matatu ukiyatizama yanaendana sana na maumbile ya mwanadam ktk muktadha wa ndoa..
1.Talaka (pale inapobidi kama kesi yako)
2. Kuoa mke zaidi ya mmoja (ili ni jambo la muhim sana kwa asilimia kubwa ya wanaume rijali ila si wote)
3. Sherehe/harusi na mahari. Kiislam mahari anasema mwanamke si wazazi kukupangia.
Hayo ni baadhi lkn yapo mengi yanayoendana na maumbile ya kibinadam kwa kuwa aliyeuweka utaratibu huu ni Muumba ambaye ametuumba na anatujua mahitaji yetu viumbe wake.
Pole sanaWasalam!
Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi.
Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake.
Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani baada ya kuona mwenzangu ameamua kuishi maisha yangu hivyo na mimi niangalie usawa wangu maana bado kijana na nna nguvu za kutosha kuvutia mrembo yeyote.
Swala langu lilipofika kanisani halikuwa rahisi kwamaana huyo mwanamke alipoitwa alikana na kudai hana mahusiano yoyote isipokuwa nilimfukuza nyumbani baada ya kushawishiwa na ndugu zangu so akaamua aondoke na kuniachia watoto wetu wadogo.
Ilikuwa vuta nikuvute, hakubali na anakataa kwa kilio akiwa na viongozi wa kanisa lakini akiwa na mimi anadai nimsamehe turudiane tuu hivyo wakati bado anawasiliana na hawara wake.
Nilipofanikiwa kunasa sauti zinazothibitisha mahusiano yao ndo ikabidi akubali mbele ya viongozi wa kanisa, lakini sasa anadai anahitaji ndoa yake na si kuachana.
Maajabu ya utaratibu wetu sisi wakristo ni kulazimishana kurudiana watu tulioumizana kiasi kikubwa kwa kigezo cha kusameheana.... Yaani ni lazima nimsamehe turudiane vinginevyo sitoruhusiwa kuoa maisha yangu yoote labda mpaka huyo mwanamke aolewe.
Binafsi kipindi hiki kifupi nimekuwa mzinifu kiani kwakuwa nipo mpweke na ni maisha ambayo naya fake kwakuwa sikuwa na mazoea hayo.
Viongozi wa kanisa wananikazia nimrudie kwakuwa eti kuna watu wanalea watoto si wao ila bado wapo na wake zao, eti ishu yangu ni ndogo tuu.... Yaan hawajui kejeli, dharau na matusi niliyotukanwa mimi na mama yangu kwa mbwembwe na hawara wa huyo mwanamke na mwanamke mwenyewe, hawajui ni magumu kiasi gani nimepitia hata sasa niko hai sababu ya hili swala, woote wapo upande wa mwanamke.
Mwanaume mkristo mwenzangu usikurupuke unapofikia hatua wa kuoa, utamu wa kyuma usikuzibe ufahamu ukashindwa kumng'amua mwanamke unayetarajia kumuoa vinginevyo utajuta.
HahahaMimi sishikiwi akili kiasi hicho suala tu lakuleta dharau na huku akiwa na mchepuko ningeshamwacha pasipo shirikisha yeyote hata kama anaukoo na Yesu.
Mkuu umeonesha dhahiri una akili za kushikiwa,kwa akili hizi mrudishe huyo malaya unayemuita mke.Ndio imani tulizozikuta na kuzikubali wenyewe tutafanyaje sasa.
malizia,imeandikwa kwa uzinzi utamuacha ila huruhusiwi kuoa wala kuolewaBiblia imesema usimuache isipokuwa uzinzi, ukishamuacha kwa sababu ya uzinzi kwa nini usioe? Hao wachungaji wanataka upige punyeto?
malizia,imeandikwa kwa uzinzi utamuacha ila huruhusiwi kuoa wala kuolewa
Unatakiwa uendelee kumuombea akurudie,na kwakuwa bwana wetu Yesu hashindwi kitu atasikia maombi yako.Ila kumbuka maombi yanaweza kuchelewa kujibiwa kwakuwa huwa anajibu kwa wkt wake.Nina Amini kuna tafsiri ingine, otherwise ningeacha Ukristo, assume: mke kakukataa kaenda na mwanaume mwingine, utafanyaje?
Unatakiwa uendelee kumuombea akurudie,na kwakuwa bwana wetu Yesu hashindwi kitu atasikia maombi yako.Ila kumbuka maombi yanaweza kuchelewa kujibiwa kwakuwa huwa anajibu kwa wkt wake.
Muda huo mkeo anaishi na bwana mwingine yakupasa uendelee kuvumilia kutozini kwakuwa ukichukua mwanamke mwingine utakuwa unazini.
Hakuna ndoa ya pili kwa Mkristo isipokuwa pale tu inapothibitishwa mkeo ama mumeo kafariki.