Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Kweli demu anatakiwa akukute hata kwako sio everyday lodge.
Akija kwako aone hapo kwako kuna hadhi ya kuishi mtu.
Usisahau hata appearance inatakiwa iwe angalau. Sio unapiga suruali size ya tambala la mashine ya kusaga, umenyoa kibwenzi, uko rafu unanuka kama bebebru, Kisa una pesa unaamini utabeba yeyote kwa kweli utapigwa vibuti utashangaa na hatimaye utahamia kwa walioshindikana.
 
Hapa nakuelewa mwonekano ni key.

Wengi sana hawawezi kujiweka hivi sababu ya uelewa.
 
Pesa kuanzia kiasi Gan afsa
Hapa inategemea unataka mwanamke wa aina gani?

Kama ni mke wa ndoa wa kujenga familia tunaanza na pesa inayokufanya uishi standard life kiasi kwamba huelemewi na maisha.

Kama ni ya kung'oa kila aina ya demu unayemuona mbele yako basi uwe na mamiloni Kama inavyosemwa ila jua kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi utaangukia pua tu.
 
Pesa za kuanzia milioni 30 afsa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wanawake wanakula pesa kama mchwa. Hiyo pesa haizidishi hata siku mbili imeteketea wamekumaliza unabaki na 1200
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wanawake wanakula pesa kama mchwa. Hiyo pesa haizidishi hata siku mbili imeteketea wamekumaliza unabaki na 1200
Hapo ni salio la kuanzia maisha mil30 unabaki na funza.
 
Maskini hudharauliwa hata na ndugu zake!Tupambane kuzitafuta wakuu.
 
Nimesoma toka uzi ulikoanzishwa mpaka Leo sijaona, kwanii hela yenyewe ni sh. ngapi ili tuwe single
Ni ile inayotosheleza kutimiza mahitaji ya yeyote utakayempata.

Haya mambo yanaenda na levels hakuna kiasi maalumu cha pesa nyingi. Kadri mahitaji yako na vigezo vya aina ya wanawake unaowataka vinavyoongezeka ndivyo pesa inayotakiwa kuwa nayo inavyoongezeka.

Yupo jamaa ana duka na bodaboda kijijini anakula kila ya mwanamke anayemtaka kisa anasifika kwa pesa nyingi lakini akiingia mjini anaambulia patupu
 
Maskini hudharauliwa hata na ndugu zake!Tupambane kuzitafuta wakuu.
Kwenye kikao Cha familia na Ukoo masikini hata angekua mkubwa vipi au ana mawazo mazuri kiasi gani akitaka kuchangia maneno anaambiwa subiri kwanza fulani achangie wewe zamu yako utafika, yule mwanafamilia mwenye Pesa kila analosema ndio linaonekana la maana sababu Pesa inaongea akisema leo mtakula, kunywa na kusaza inakua hivyo Ila masikini yake maneno tu na mkono mtupu haulambwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…