Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Hakuna mwanamke asiependa Pesa usijifanye kwanza ukikosa Pesa ya Taulo la kike tu kichwa kinakuuma hapo haujakosa Pesa ya kula
Kupenda pesa hakuna uhusiano wa kulala na kila boya like your.
 
Nimepitia baadhi ya comment za kina dada nimebaki najiuliza kumbe kuna watu huwa hawajielewi wanataka nini
 
Kupenda pesa hakuna uhusiano wa kulala na kila boya like your.
Uhusiano upo haujataitiwa tu hujawahi kubanwa na mkojo/mavi ukiwa ndani ya chombo Cha usafiri yaan lazima uombe usaidiwe chombo kisimamishwe ili uvue nguo kisha alafu ujisaidie, ukitoka hapo mwepesiii hio ndio sawa na mwanamke mwenye uhitaji wa Pesa yupo tayari kuvua ili atatue matatizo yake kwani kuvua Mara 1/2 Kuna hasara gani wakati unaingiza Pesa ?

Nishashuhudia mwanamke yupo kwenye usafiri wa Noah kabanwa na haja ndogo akaomba isimamishwe ilivyosimama hakujali idadi ya watu au hata wapita njia alishuka akavua pembeni ya Noah akakojoa Mambo hadharani
 
Unatoa mifano isiyoendana na kinachojadiliwa hapa!! Pita vile bnaa achana na mimi.
 
Unatoa mifano isiyoendana na kinachojadiliwa hapa!! Pita vile bnaa achana na mimi.
Ninakupa mifano hai ili ujue kinachozungumziwa Kuna watu bila kupewa mifano hua hamuelewa kwanza twende PM tukakaguane km Mimi mwanaume au mwanamke ndio utaelewa vizuri maana hauelewi
 
Ninakupa mifano hai ili ujue kinachozungumziwa Kuna watu bila kupewa mifano hua hamuelewa kwanza twende PM tukakaguane km Mimi mwanaume au mwanamke ndio utaelewa vizuri maana hauelewi
Sasa hata jinsia yako huijui unataka ukaguliwe huoni ni tatizo hilo?
 
Nakazia

Depal
 
Sasa hata jinsia yako huijui unataka ukaguliwe huoni ni tatizo hilo?
Wewe si umesema Mimi mwanamke ndio nataka uone km ukilala na mwanamke unapata ujauzito sawa tulale alafu baada ya hapo km hujapata mrejesho wowote ndani ya Mwezi hujapata kitumbo Niite mwanamke
 
Wewe si umesema Mimi mwanamke ndio nataka uone km ukilala na mwanamke unapata ujauzito sawa tulale alafu baada ya hapo km hujapata mrejesho wowote ndani ya Mwezi hujapata kitumbo Niite mwanamke
Eee bnaa usilazimishe mambo acha kuni Quote.
 
Natamani nimtag mtu hapa😂😂

Well said D, tatizo wanaume wengi wamekariri vibaya.
Wanakutana na wauzaji halafu wanaconclude kuwa kila mwanamke yupo hivyo.

Kuna wanaume wengi wameshaliwa nauli zao humu😅 wakapigwa block juu pamoja na hela zao na hata sura ya hiyo mbususu hawajaiona.

Pesa hamna mtu asiyezipenda, wao wenyewe wanazipenda sana tu.
 
Wangi bado hawajakua,ngoja wakuekue kidogo watajitambua.
 
Wewe unaongelea muuzaji, jua kutofautisha.

Shida za hela ni kawaida sana na sijawahi kusikia mtu kafa sababu ya shida ya hela
 
sio pesa tu .ata kama unatembelea crown na umeazima kwa shaban
Hii umepigilia msumari. Mwanamke atatamba kwa wenzake mumewe ana gari wakati ni dereva wa lori la jeshi. Tena lori lenye mabaka mabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…