Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Natamani nimtag mtu hapa[emoji23][emoji23]

Well said D, tatizo wanaume wengi wamekariri vibaya.
Wanakutana na wauzaji halafu wanaconclude kuwa kila mwanamke yupo hivyo.

Kuna wanaume wengi wameshaliwa nauli zao humu[emoji28] wakapigwa block juu pamoja na hela zao na hata sura ya hiyo mbususu hawajaiona.

Pesa hamna mtu asiyezipenda, wao wenyewe wanazipenda sana tu.
Tunabaki palepale Money is not everything ila ni muhimu kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu kuzitafuta na kuwa nazo.
 
Eee bnaa usilazimishe mambo acha kuni Quote.
Wewe umeniquote mboni Nani amekulazimisha nimekwambia inabidi uthibitishe kauli yako kua Mimi ni mwanamke nikupe ujauzito Ila uprove kua Mimi ni mwanaume sio mwanamke au hilo la kupewa ujauzito linakuchanganya kidogo kwamba toka lini mwanamke akampa ujauzito Mwanamke mwenzie au sio ?
 
Tunabaki palepale Money is not everything ila ni muhimu kwa binadamu yeyote mwenye akili timamu kuzitafuta na kuwa nazo.
Ndio maana tunapambana maana kwenye haya maisha kila kitu ni pesa kula, kuvaa, kusoma nk.

Muhimu kuishi ndani ya budget yako na kuacha tamaa zisizo na maana.
 
Wewe unaongelea muuzaji, jua kutofautisha.

Shida za hela ni kawaida sana na sijawahi kusikia mtu kafa sababu ya shida ya hela
Mkuu hapa sijazungumza kuhusu shida ndio maana nikatoa mfano hai nimesema mnapenda Pesa sio kwamba mnapenda kua na shida ya Pesa, hakuna mwanamke anaepanda kua na shida ya Pesa Ila wapenda Pesa mpo tena kwa asilimia zote mnapenda Pesa kuliko kitu chochote maana Pesa zinawatatulia mahitaji yenu mengi sasa usipinge kabla haujaelewa hilo
 
Natamani nimtag mtu hapa😂😂

Well said D, tatizo wanaume wengi wamekariri vibaya.
Wanakutana na wauzaji halafu wanaconclude kuwa kila mwanamke yupo hivyo.

Kuna wanaume wengi wameshaliwa nauli zao humu😅 wakapigwa block juu pamoja na hela zao na hata sura ya hiyo mbususu hawajaiona.

Pesa hamna mtu asiyezipenda, wao wenyewe wanazipenda sana tu.
Hawajui heka heka wanazokutana nazo mabro wao wenye hela 😂😂

Ukute tunajadiliana na vijana wa 27/28 yrs. Hawana case study za maana , zaidi ya vitoto vyezao vya shule.

Kuna muda mtu anakuwa na hoja uchwara unabaki unaishangaa tu. Maana haiko applicable kabisa. Kwanza wao wenyewe sio K zote wanapita nazo, lazima waselect.
 
Mkuu hapa sijazungumza kuhusu shida ndio maana nikatoa mfano hai nimesema mnapenda Pesa sio kwamba mnapenda kua na shida ya Pesa, hakuna mwanamke anaepanda kua na shida ya Pesa Ila wapenda Pesa mpo tena kwa asilimia zote mnapenda Pesa kuliko kitu chochote maana Pesa zinawatatulia mahitaji yenu mengi sasa usipinge kabla haujaelewa hilo
Wewe hupendi pesa?
 
Hawajui heka heka wanazokutana nazo mabro wao wenye hela 😂😂

Ukute tunajadiliana na vijana wa 27/28 yrs. Hawana case study za maana , zaidi ya vitoto vyezao vya shule.

Kuna muda mtu anakuwa na hoja uchwara unabaki unaishangaa tu. Maana haiko applicable kabisa. Kwanza wao wenyewe sio K zote wanapita nazo, lazima waselect.
Halafu kweli, angekua mkubwa na ana experience asingesema hivyo
 
Ndio maana tunapambana maana kwenye haya maisha kila kitu ni pesa kula, kuvaa, kusoma nk.

Muhimu kuishi ndani ya budget yako na kuacha tamaa zisizo na maana.
Uko sahihi. Tutafute pesa iturahisishie maisha. Na si kwamba pesa itatupa chochote tunachotaka bali kile tunachohitaji.
 
Wewe unapenda Pesa kivingine yaan ukipewa Pesa simply means anything can happen anywhere in between nyoka anaingia pangoni
Unaona shida yako, unaniongelea as if unanijua.

Jibu swali, unapenda pesa hupendi?
 
Mkiona zile noti nyekundu zikiwa mingi basi na utelezi nao unakiwa mwingi
Kuna mwanamke akimuona mwanaume wa aina fulani mbele yake tu tayari ameshalowa kitamboooo. Hakunaga formula maalumu mkuu. Ila pesa ni muhimu kuitafuta ili ikupe urahisi wa kutimiza hayo yote. Maana unaweza pendwa ukakosa pesa ya kumtunza au kumpeleka hata Lodge tukiachana na Hotel
 
Back
Top Bottom